...kwa Tanzania ukiwa wewe ni kiongozi, ukaona waliochini yako au unaowaongoza wanakupenda elewa kuwa wewe ni kiongozi DHAIFU, au kwa lugha tulioizoea "hana tofauti na nyoka wa Kibisa ambaye hana madhara pindi anapokuwa nacheza na binadamu". Kupendwa na watu haiwezi kuwa sifa nzuri ya uongozi' yaani unakuwa wewe ni kiongozi MSHIKAJI, asiyekuwa na madhara kwa wale unaowaongoza!
"Lowassa alikuwa kiongozi MCHAPA KAZI, NA ANEYE MWAJIBISHA MOJA KWA MOJA MTENDAJI ALIYE CHINI YAKE".
Kwahiyo ndiyo maana watendaji wengi ndani ya ccccm wanamwogopa, kwa sababu ya MUAAMUZI yake ya hapo kwa papo!.