Kwa kweli ndoa ni safari ngumu

Kwa kweli ndoa ni safari ngumu

[emoji38][emoji38]me love you...unajua hilo[emoji6]
And I'm truly grateful for that.

Yani wanaume wengi wa kiafrika wapo proud na mambo ya kishenzi, ndo mambo wanayoyakumbatia na ndo wanayoyajulia haswa. No wonder hata uchumi wa Africa unasuasua, akili zenyewe zinawaza ngono tu. Wanaume hawajui tu baraka zao zimekuwa tied kwenye ndoa zao, mfurahishe mkeo na baraka zako zitamiminika, mlize afu uone utakavyogaa gaa na upwa. .... Na since hawana cha maana cha kushow off, basi acha tu waboost their self esteem kwa kutembea na wanawake wengi. Poor us....
 
Ngoja nikuulize kaka..hakuna mwanaume aliyewahi kumfukuza mwanamke wa ndoa kwa kushawishiwa na hawala???
Wapo ndugu,kumkaka mmoj mwanajeshi amemfukuza mke wa ndoa na kwenda kuchukua baa medi tena mwanaume azid miaka 28 ila mwanamke anamiaka 37 ameolewa mara 4 na anawatoto 6 na kote ameachika
 
And I'm truly grateful for that.

Yani wanaume wengi wa kiafrika wapo proud na mambo ya kishenzi, ndo mambo wanayoyakumbatia na ndo wanayoyajulia haswa. No wonder hata uchumi wa Africa unasuasua, akili zenyewe zinawaza ngono tu. Wanaume hawajui tu baraka zao zimekuwa tied kwenye ndoa zao, mfurahishe mkeo na baraka zako zitamiminika, mlize afu uone utakavyogaa gaa na upwa. .... Na since hawana cha maana cha kushow off, basi acha tu waboost their self esteem kwa kutembea na wanawake wengi. Poor us....
MAZA AMEKUWA AKINIAMBIA HII KITU
 
Kuna wanawake wengine ni mashetani,hata kama unatembea na mme wake ndo ufanye hivyo jamani

Dada angu anapitia wakati mgumu anahitaji ushauri baada ya kushika sim ya Mme wake wakati ameacha chaji hapo jana jion na akakuta meseji za hiv

Dada aliolewa na Mme wake mwaka 1 na nusu na ana mtoto kichanga cha miezi 6

Anatamani amuulize Mme wake kulikoni anaogopa

Nimeshindwa nimwambieje mie

View attachment 810950View attachment 810951
Ktk scenario kama hizi kuna watu huwa wanamajibu mujarabu sana. Cc: Luckline
 
Okoa ndoa yako mwanmke acha upumbavu utaivunja nyumba yako
 
Mimi binafsi sijaoa ila nataka nikiwa mkubwa nioe mwanamke mwenye anaeniridhisha kwa vigezo ninavyotaka chura kuubwa, mzurii ili nikidhi haja ya moyo, sio kila kukicha nimechepuka( just kidding)
Muuuh,hongera
 
And I'm truly grateful for that.

Yani wanaume wengi wa kiafrika wapo proud na mambo ya kishenzi, ndo mambo wanayoyakumbatia na ndo wanayoyajulia haswa. No wonder hata uchumi wa Africa unasuasua, akili zenyewe zinawaza ngono tu. Wanaume hawajui tu baraka zao zimekuwa tied kwenye ndoa zao, mfurahishe mkeo na baraka zako zitamiminika, mlize afu uone utakavyogaa gaa na upwa. .... Na since hawana cha maana cha kushow off, basi acha tu waboost their self esteem kwa kutembea na wanawake wengi. Poor us....
Poorest
 
Inafuatana na huyo mwanamke uliye naye,kama mwanamke ni pasua kichwa.Utahofia kutokumliza kisa utapata laana? Kila mtu apambane na hali anayokutana nayo.Hakuna kufuata experience ya mtu fulani!!
 
Neno litasimama, mambo yote yatapita lakini neno litasimama (naimba tu). [emoji13] [emoji13]
 
Hatari sana kuishi na mtu kama huyo,halafu hako kamchepuko kanampeleka jamaa mbio mbio, sjui jamaa kapewa nini huko. Eti " Nitamfukuza hivi karibuni"[emoji25] [emoji25]
Huyo hana msimamo kabisa familia yake inaendeshwa na mtu wa nje atakuwa anampangia hata kumkula mkewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Neno litasimama, mambo yote yatapita lakini neno litasimama (naimba tu). [emoji13] [emoji13]
Na lisimame tu bila kufanya kazi,maana washasema masiah yupo karibu kuja,hadi leo kimya mwaka wa 30 huu nalisikia hiko neno likisema!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom