Kwa kweli ndoa ni safari ngumu

Kwa kweli ndoa ni safari ngumu

Amemkosea heshima vipi eakati hsjawahi kuongea naye lolote?

First things first, ni kwa nini upekuwe simu yako?

Simu ni faragha ya mtu na hizo conservation ndio faragha zenyewe.

Sasa je kwenye simu angekuta kamuuwa mama yake ili akope pesa sehemu si angemuona jamaa ni mchawi?

Nilichokigunduwa Watanzania 90% wanaomiliki simu Hawajuhi kwamba simu ni faragha ya mtu binafsi na siyo family property.
Kuna mambo ya faragha na siyo ya faragha.fikiria umechepuka yakakukuta makubwa huko..nitakaa kimya kisa ulikuwa unayafanya faragha? Aisee yataka moyo
 
Kwakweli nimemshangaa huyu mwanaume. kashikwa tako na mchepuko. Na anaambiwa amuache mkewe na anakubali.. what the **** man?

Loyal mans jmn.. huyu ametuaibisha wanaume wenzie. Mke wako una mtemndea hivi kweli?
Huyu si mwanaume kwakweli..
Na huyo mke wake ahoji ashirikishe wazee alicho kiona.. asikae kimya
Kwakweli jamaa kaboa, alafu kamchepuko kanavyo mpeleka kimuhe muhe haahha utazan akili kashikiwa
 
Sawa mzee matola,..ila mm huwezi nitesa nikakuangalia tuu eti kisa ni hulka yenu kuchepuka,.hell NO,mm nichepukie nisijue ndio ndoa itadumu... Bibilia imesema ndoa na iheshimiwe na watu wote,Mungu hakujua udhaifu wetu binadamu?? Sema wanaume mnajihalalishia sana ufirahuni eti kisa tuu mwanaume umepewa vichwa viwili WTF,.

Halafu njia ya mwongo ni fupi na Mungu hamfichi mnafiki,.hata nisipo shika simu,.kama una shida zako IPO siku mambo yote yatafichuka na yatajulikana tuu,.em heshimuni ndoa zenu jamanii.
Hakuna mtu aliyeteswa kwenye maelezo ya mleta mada, bali ni kiherehere cha mke kupekuwa simu ya mwanaume.

Mimi nimeshawahi kumsikia mwanamke akimponda msela wangu mmoja kwamba mfupi hana mvuto sura mbaya na kejeli zote, na nilimfikishia ujumbe wake yule msela kama uliyyo akaniambia subiri....

Ilipita kama mwezi akanipigia simu saa 11 alfajili yupo guest ananipa simu msalimie shemeji yako nilibaki nacheka tangu siku ile kauli za wanawake sizichukulii serious.

Hii maana yake ni kwamba hata wanaume si kila chatting zao wanamaanisha kile wanachokiandika, mkiweza kulielewa hili hamtopata tabu na wanaume.
 
Amemkosea heshima vipi eakati hsjawahi kuongea naye lolote?

First things first, ni kwa nini upekuwe simu yako?

Simu ni faragha ya mtu na hizo conservation ndio faragha zenyewe.

Sasa je kwenye simu angekuta kamuuwa mama yake ili akope pesa sehemu si angemuona jamaa ni mchawi?

Nilichokigunduwa Watanzania 90% wanaomiliki simu Hawajuhi kwamba simu ni faragha ya mtu binafsi na siyo family property.
Amemkosea heshima.

Huyo mwanamke amemkosea heshima mke wa ndoa kwa kumuita namna hiyo, huwezi kuzaa na mme wa mtu ukalazimisha kuwa mwanamke wa ndoa afukuzwe!

Simu ni faragha ndio ila mke anaweza kuishika na kusiwe na tatizo, kumbuka hapa tunazungumzia mke wa ndoa sio hawara, wala mchepuko. Ni mangapi mtu anashare na mwanamke wa ndoa, sembuse simu, simu kitu gani?

Conversation tayari inaonesha personality hapo, hata kwa mistari miwili imeshaonekana.

Sorry kwa Gazeti.
 
Hakuna mtu aliyeteswa kwenye maelezo ya mleta mada, bali ni kiherehere cha mke kupekuwa simu ya mwanaume.

Mimi nimeshawahi kumsikia mwanamke akimponda msela wangu mmoja kwamba mfupi hana mvuto sura mbaya na kejeli zote, na nilimfikishia ujumbe wake yule msela kama uliyyo akaniambia subiri....

Ilipita kama mwezi akanipigia simu saa 11 alfajili yupo guest ananipa simu msalimie shemeji yako nilibaki nacheka tangu siku ile kauli za wanawake sizichukulii serious.

Hii maana yake ni kwamba hata wanaume si kila chatting zao wanamaanisha kile wanachokiandika, mkiweza kulielewa hili hamtopata tabu na wanaume.
Ngoja nikuulize kaka..hakuna mwanaume aliyewahi kumfukuza mwanamke wa ndoa kwa kushawishiwa na hawala???
 
Amemkosea heshima.

Huyo mwanamke amemkosea heshima mke wa ndoa kwa kumuita namna hiyo, huwezi kuzaa na mme wa mtu ukalazimisha kuwa mwanamke wa ndoa afukuzwe!

Simu ni faragha ndio ila mke anaweza kuishika na kusiwe na tatizo, kumbuka hapa tunazungumzia mke wa ndoa sio hawara, wala mchepuko. Ni mangapi mtu anashare na mwanamke wa ndoa, sembuse simu, simu kitu gani?

Conversation tayari inaonesha personality hapo, hata kwa mistari miwili imeshaonekana.

Sorry kwa Gazeti.
Hizi simu zina mambooo.
IMG-20180716-WA0030.jpg
 
Si kila mwenye uwezo wa kutowa mbegu za kiume za kuzaliwa mtoto basi ni mwanaume, hapana jifunze upya kuwatambuwa wanaume.
Basi umemaliza..kila mwanaume ana akili zake huenda na shemeji yangu.sijui lijalo
 
Mimi binafsi sijaoa ila nataka nikiwa mkubwa nioe mwanamke mwenye anaeniridhisha kwa vigezo ninavyotaka chura kuubwa, mzurii ili nikidhi haja ya moyo, sio kila kukicha nimechepuka( just kidding)
Sawasawa nahuyo ndo mwanamme.
 
Kosa alofanya ni kushika simu. Tuanzie hapo kwenye hili kosa kubwa hayo mengine yana solvika tu kirahisi
Kosa gani mzee!ninini maana ya kuowa kama bado mwanaume unaendelea na huu ujinga,huu ni ujinga ambao kama kweli mtu anajitambua hawezi kujifungamanisha nao.

Mtu amekubali kupata maumivu labor ili akuendelezee kizazi chako ulichokibeba kiunoni leo umkataze kitu simple kama kushika simu yako?unathubutu kushikwa kichwa na malaya unajiandikia eti nitamfukuza!!!WtF sijawa mwanamke namtoa shingo.

Hii kama ni story ya kutunga au sivyo ila duniani kuna baadhi ya wapumbavu wanaofanya baadhi ya watu kuishi kwa tabu sana kisha sisi wanaume tunaanza kuwalaumu,kuowa maana yake kuacha dhambi ya uzinzi japo haitakiwi kuzini kabla hujaowa ila Mungu akikujaalia kupata mke ishi kulingana na amri zake.

Kingine huu ujinga tunaodanganyana wanandoa hakuna kushika simu ya mwenzake tuuache mimi simu zangu mke wangu anazishika passwords zote,Tigo pesa M-pesa anazijua kama hakuzijua yeye nani azijue?nimezidiwa ghafla usiku simu yake haina credit atoke nje mbio mbio kuwagongea majirani haliyakuwa simu yangu ina salio shida ni hawezi kuifungua?!

Tusipoacha mawazo haya ya kipuuzi basi wanaume wa Tanzania tutapata tabu sana!
 
Wanawake wa kiafrika sisi kuna muda ni wapuuzi sana,.ashakhum si matusi..samahani labda nikuulize kitu bibie:huyo dadako hana kwao au hawezi ishi bila ya huyo baradhuli?? Kuna vitu unaweza kaa chini ukaviwaza lakini sio jambo kama hilo zito,hapo ni kufanya action moja tuu,.
No wonder I like you....
Sawa mzee matola,..ila mm huwezi nitesa nikakuangalia tuu eti kisa ni hulka yenu kuchepuka,.hell NO,mm nichepukie nisijue ndio ndoa itadumu... Bibilia imesema ndoa na iheshimiwe na watu wote,Mungu hakujua udhaifu wetu binadamu?? Sema wanaume mnajihalalishia sana ufirahuni eti kisa tuu mwanaume umepewa vichwa viwili WTF,.

Halafu njia ya mwongo ni fupi na Mungu hamfichi mnafiki,.hata nisipo shika simu,.kama una shida zako IPO siku mambo yote yatafichuka na yatajulikana tuu,.em heshimuni ndoa zenu jamanii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom