Kwa kweli ndoa ni safari ngumu

Kwa kweli ndoa ni safari ngumu

Yaani mimi mtu mzima unaniambia Myuuu kweli?

Nimejitafakari saana na kujitathimini nachoweza kusema..... kama umeamua kuishi haya maisha ya kunisonya mfuu endelea tu wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama ndio mchepuo unanishauri hivyo naupiga chini wenyewe na baki na mke wangu ,
 
A. Kuna makosa kadhaa ambayo tayari dada yako amesha yafanya.

B. Na sikushauri uingilie sana mambo ya dadako na mumewe, maana ipo siku utaja pata aibu kubwa.

C. Mshauri avumilie, siku akichoka aondoke.
 
Ningeshageuka Cynthia Rothrock siku nyingi.

Ndugu yako ana moyo wa jiwe yani anajiuliza afanye nini. Situation nyingine maswali unauliza mbele ya safari wakati tukio limekamilika
 
Angekua mchepuko wangu huyoo,ndio ungekua mwisho wake huo na vibao juu

Hawezi akamkosea wife heshima namna hiyo!
 
A. Kuna makosa kadhaa ambayo tayari dada yako amesha yafanya.

B. Na sikushauri uingilie sana mambo ya dadako na mumewe, maana ipo siku utaja pata aibu kubwa.

C. Mshauri avumilie, siku akichoka aondoke.
Muuh
 
Ningeshageuka Cynthia Rothrock siku nyingi.

Ndugu yako ana moyo wa jiwe yani anajiuliza afanye nini. Situation nyingine maswali unauliza mbele ya safari wakati tukio limekamilika
Ni shida kweli kweli
 
Ningeshageuka Cynthia Rothrock siku nyingi.

Ndugu yako ana moyo wa jiwe yani anajiuliza afanye nini. Situation nyingine maswali unauliza mbele ya safari wakati tukio limekamilika
Wanawake wengi wamekosa Maamuzi thabiti, pia Waoga sana
 
Mwambie dadako aache kiherehere cha kushika simu ya mume wake,angekua kule uarabuni angetupwa jela na kazi ngumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom