Kwa kweli ndoa ni safari ngumu

Kwa kweli ndoa ni safari ngumu

Kweli moyo wa mtu kichaka aisee, unakaa na mtu anakuchekea lkn hujui tu anacho kuwazia/kufanyia.
 
Mchepuko unakua na ujasiri namna hiyoo
Aibu kwa mwanaume hujawahi ona mke anamkuta mmewe na mchepuko badala amwambie mchepuko ondoka yeye abaki abembeleze mkewe badala yake anaanza kumdunda mkewe eti kafuata nini, kuna wakati Mungu huwamua kumuonyesha tu
 
Michepuko ni matumizi ya kando, mwanaume makini hawezi discuss mambo ya mke wake kwa mchepuko.
 
Michepuko ni matumizi ya kando, mwanaume makini hawezi discuss mambo ya mke wake kwa mchepuko.
Wambie kaka angu kuna wanaume wengine mna akili sana
 
Aibu kwa mwanaume hujawahi ona mke anamkuta mmewe na mchepuko badala amwambie mchepuko ondoka yeye abaki abembeleze mkewe badala yake anaanza kumdunda mkewe eti kafuata nini, kuna wakati Mungu huwamua kumuonyesha tu
Mchepuko lazima awe na mipaka akishaanza kujifananisha na wife huyoo wakupiga chini!
 
Sasa huyo atashindwa hata kukuwekea sumu jamani?
Hatari sana kuishi na mtu kama huyo,halafu hako kamchepuko kanampeleka jamaa mbio mbio, sjui jamaa kapewa nini huko. Eti " Nitamfukuza hivi karibuni"[emoji25] [emoji25]
 
Eti fukuza mke..duuh huyo jamaa kashikwa sio bure..mwanaume mwenye akili timamu huwezi bembeleza penzi la mchepuko..Tupa kule mchepuko kwanza unapunguza na gharama kabisa
Huyoo jamaa itakua kuna namna aisee,siyo buree!

Lazima mchepuko awe na mipaka!
 
Kwa mawazo km dada ako ,mtabaki kuonewa nakupata tabu sana.

Ivi wanawake wa Bongo sijui mnann,,kwann HAMNAGA UWEZO WA KUHOJI ?? anaogopa kuhoji??

Mwambie ahoji.... Alafu ndomaana jana nmewambia " Mwanamme kumsaliti mkeo ni Upumbavu" ... Ona sasa ikiwa mwanamke atahoji na kimaelezo jamaa kazalisha huku nahuku, sindo mwanzo wa Kusambaratika Amani ? PUMBAVU KABISA WANAUME WAHIVI.!!!.
Kwakweli nimemshangaa huyu mwanaume. kashikwa tako na mchepuko. Na anaambiwa amuache mkewe na anakubali.. what the *** man?

Loyal mans jmn.. huyu ametuaibisha wanaume wenzie. Mke wako una mtemndea hivi kweli?
Huyu si mwanaume kwakweli..
Na huyo mke wake ahoji ashirikishe wazee alicho kiona.. asikae kimya
 
Ruksa kushikiana ila sio simu mana ina mengi yakutisha
 
Wkt fulani ujinga ni baraka,kupekua simu kayajua ambayo hakustahili kuyajua.
Huyo mwanaume ni muadilfu sana yaani umri wote ana mchepuko mmoja tu.
Wanaume hatupaswi kuendeleza upumbavu huu wa kuwa na kamchepuko kamoja.
 
Makubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom