Kwa kweli ndoa ni safari ngumu

Kwa kweli ndoa ni safari ngumu

Kosa gani mzee!ninini maana ya kuowa kama bado mwanaume unaendelea na huu ujinga,huu ni ujinga ambao kama kweli mtu anajitambua hawezi kujifungamanisha nao.

Mtu amekubali kupata maumivu labor ili akuendelezee kizazi chako ulichokibeba kiunoni leo umkataze kitu simple kama kushika simu yako?unathubutu kushikwa kichwa na malaya unajiandikia eti nitamfukuza!!!WtF sijawa mwanamke namtoa shingo.

Hii kama ni story ya kutunga au sivyo ila duniani kuna baadhi ya wapumbavu wanaofanya baadhi ya watu kuishi kwa tabu sana kisha sisi wanaume tunaanza kuwalaumu,kuowa maana yake kuacha dhambi ya uzinzi japo haitakiwi kuzini kabla hujaowa ila Mungu akikujaalia kupata mke ishi kulingana na amri zake.

Kingine huu ujinga tunaodanganyana wanandoa hakuna kushika simu ya mwenzake tuuache mimi simu zangu mke wangu anazishika passwords zote,Tigo pesa M-pesa anazijua kama hakuzijua yeye nani azijue?nimezidiwa ghafla usiku simu yake haina credit atoke nje mbio mbio kuwagongea majirani haliyakuwa simu yangu ina salio shida ni hawezi kuifungua?!

Tusipoacha mawazo haya ya kipuuzi basi wanaume wa Tanzania tutapata tabu sana!
Ongea hata wewe kaka yangu mme kazidiwa ghafla simu za mme zimejazwa ma password kila kona usiku wa manane anaenda kugonga nje kwa majirani kama majuha vile, eti simu zake zina password si aibu hiyo?
 
And I'm truly grateful for that.

Yani wanaume wengi wa kiafrika wapo proud na mambo ya kishenzi, ndo mambo wanayoyakumbatia na ndo wanayoyajulia haswa. No wonder hata uchumi wa Africa unasuasua, akili zenyewe zinawaza ngono tu. Wanaume hawajui tu baraka zao zimekuwa tied kwenye ndoa zao, mfurahishe mkeo na baraka zako zitamiminika, mlize afu uone utakavyogaa gaa na upwa. .... Na since hawana cha maana cha kushow off, basi acha tu waboost their self esteem kwa kutembea na wanawake wengi. Poor us....
Trump hakukosea
 
Wapo ndugu,kumkaka mmoj mwanajeshi amemfukuza mke wa ndoa na kwenda kuchukua baa medi tena mwanaume azid miaka 28 ila mwanamke anamiaka 37 ameolewa mara 4 na anawatoto 6 na kote ameachika
Hujakosea wapo kibao mke hana shida mme kila kukicha wanashindana kudanga na makahaba
 
Wkt fulani ujinga ni baraka,kupekua simu kayajua ambayo hakustahili kuyajua.
Huyo mwanaume ni muadilfu sana yaani umri wote ana mchepuko mmoja tu.
Wanaume hatupaswi kuendeleza upumbavu huu wa kuwa na kamchepuko kamoja.
Nyuma ya keyboard
 
Pumbavu sana hilo jamaa, yaan kidem cha nje kinampeleka puta na anaputika kweli! Nilishasema, "Wanawake muangalie kwa umakini na watu wa kufanya nao maisha. Sio kila mwanaume ni Mwanaume na Baba"
 
Mahusiano yamekuwa na machungu kwa kuwa watu wanachunguzana sana!!!....na huko ndipo wanakokutana na yanayojeruhi mioyo yao.....

Niliwahi kufanya jambo hilo na lilikaribia kuondoa uhai wangu

Tangu hapo sitaki kumchunguza mtu kwa kuwa mtu ni zaidi ya mtu....Nipo na amani moyoni mwangu na nayafurahia maisha.......

Unaweza ukaonekana mjinga lakini ni salama kwa afya yako na uhai wako
 
Yaani mimi mtu mzima unaniambia Myuuu kweli?

Nimejitafakari saana na kujitathimini nachoweza kusema..... kama umeamua kuishi haya maisha ya kunisonya mfuu endelea tu wewe.
ha ha hahaaa ..pole sana mkuu..
 
Pumbavu sana hilo jamaa, yaan kidem cha nje kinampeleka puta na anaputika kweli! Nilishasema, "Wanawake muangalie kwa umakini na watu wa kufanya nao maisha. Sio kila mwanaume ni Mwanaume na Baba"
Nalo neno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom