kama unaona hivo mkuu, je chadema na lissu kupinga wazi wazi maendeleo kwa geita ambayo ni sehem ya tanzania wapo sahih?Sijaisoma lakini heading yake sio nzuri in preach ubaguzi, ambao haufai
Kaangalie geographyWatu wa Geita wenyewe wanahoji kwa nini uwanja usingejengwa Geita mjini ama Katoro ukaenda kujengwa kijijini Chato. Chato ni kijiji.
Mtu wa geita mjini hawezi kupanda ndege akashukia chato maana ni mbali bora ashukie Mwanza. Mwanza Geita ni km 100 hivi ila Geita Chato ni km 150+.
Hata ingekuwa nyumbani kwake kwa kupinga uwanja wa ndege na mbuga ipigwe chini Hilo halina mjadalanini Geita mbali kote huko? Chadema ipo hadi kijijini Chato!
au umemsahau yule mwanamama machachari Husna aliyepandisha bendera za Chadema huku polisi na UVCCM wakiwa wameufyata?
ngoja nikukumbushe hapa chini.....
Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!
Wewe unaongelea Geography wakati mimi naishi Geita. Mwanza na Geita wapi kuna milima mingi? Uwanja wa ndege wa mwanza uko milimani?Katoro k
Kaangalie geography
Eneo pekee lilio flat Ni Chato sehemu zingine milima mitupu katoro na Geita
Kuhusu umbali unaota mkoa ukiwa mkubwa lazima upande mwingine utakuwa mbali na uwanja mfano uwanja wa kimataifa uko Dar es salaam tu wa mbeya akitaka kusafiri anasafiri kilomita 800 kuufikia !!! Wakati mkazi wa kiwalani anaenda kwa miguu
Kiwanja Cha ndege huwezi Jenga popote.hata vya mikoa Kuna wilaya zingine husafiri zaidi ya kilomita 300 kukifikia hata uwanja wa ndege wa Kilimanjaro sio wilaya zote ziko karibu nao!!!
Where do your publish your papers?? Mnazo PhD, hivi what kind of researches you did?Kodi ya mabilioni ikusanywe Geita migodi ya dhahabu Halafu yote ipelekwe Ludewa ? Yaani Geita Kodi zao ziwe za zote zikahudumie Ludewa ? Njia moja ya kuwarudishia Wana Geita kwa kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za kigeni Ni pamoja na kuwapa maendeleo Kama kiwanja Cha ndege .Pesa zilizojenga uwabja Ni kiduchu ukilinganisha na Kodi zilizonunuliwa kwenye migodi ya dhahabu
Gharama za ujenzi kwenye miima na tambarare zinalingana? Pili usalama wa ndege kuruka na kutua vipi? Mwanza Kuna hadi ndege ziko pale zimebomoka midomo kwa kugonga milima zimepaki Hapo airport mwanza kaangalie hata Sasa hivi ndio utajua hatari ya kujenga uwanja eneo lenye milima.Wewe unaongelea Geography wakati mimi naishi Geita. Mwanza na Geita wapi kuna milima mingi? Uwanja wa ndege wa mwanza uko milimani?
Rais Magufuli ana upinzani Chato kuliko ujuavyo comrade!Hata ingekuwa nyumbani kwake kwa kupinga uwanja wa ndege na mbuga ipigwe chini Hilo halina mjadala
Kodi ya mabilioni ikusanywe Geita migodi ya dhahabu Halafu yote ipelekwe Ludewa ? Yaani Geita Kodi zao ziwe zote zikahudumie Ludewa ? Njia moja ya kuwarudishia Wana Geita kwa kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za kigeni Ni pamoja na kuwapa maendeleo Kama kiwanja Cha ndege .Pesa zilizojenga uwabja Ni kiduchu ukilinganisha na Kodi zilizokusanywa kwenye migodi ya dhahabu