Mwami Kabuyuki
Senior Member
- Dec 4, 2018
- 157
- 307
Baada ya kuweka mtego kwa mchumba wangu nimegundua huko mbeleni naweza kumchoma kwa gunia la mkaa nikaishiwa kufungwa jela
Zikiwa zimebaki siku chache tuhitimishe safari yetu ya uchumba na kuingia kwenye ndoa takatifu lakini naamua kuvunja mahusiano ,najua ndugu jamaa na marafiki watashangaa lakini nahisi kuua huko mbeleni
Kwa Akili zangu huyo Na Kama ni mimi Namuacha fasta aendelee na Maisha yake, Hama Msimamo, Nafuta kila Kilichochake nakausha kimya kama vile Haijawahi Kutokea kumfaham mtu kama yeye
uamuzi unao Mwenyewe