Kwa kipimo hiki naghairi ndoa, sioi tena

Baada ya kuweka mtego kwa mchumba wangu nimegundua huko mbeleni naweza kumchoma kwa gunia la mkaa nikaishiwa kufungwa jela

Zikiwa zimebaki siku chache tuhitimishe safari yetu ya uchumba na kuingia kwenye ndoa takatifu lakini naamua kuvunja mahusiano ,najua ndugu jamaa na marafiki watashangaa lakini nahisi kuua huko mbeleni

Kwa Akili zangu huyo Na Kama ni mimi Namuacha fasta aendelee na Maisha yake, Hama Msimamo, Nafuta kila Kilichochake nakausha kimya kama vile Haijawahi Kutokea kumfaham mtu kama yeye

uamuzi unao Mwenyewe
 
sasa umeshamtengenezea mkulungwa njia kiulainiiii .

N.b
Kama unataka kuvunja mahusiano uwe na ushahidi concrete si maana hizo meseji anaweza kukugeuka akasema alishajua ni wewe ndo akaamua kukuzingua.

Na pia una uhakika gani kwamba hakumfuata jamaa facebook pm huko akamuuliza kama ni namba yake?

Na unadhani chatting yako na ya jamaa haijui?

We jamaa dhaifu sana

Ushahidi concrete ili iweje?? Awafurahishe ndugu au

Kwani huo ushahid hautoshi?
 
Baada ya kuweka mtego kwa mchumba wangu nimegundua huko mbeleni naweza kumchoma kwa gunia la mkaa nikaishiwa kufungwa jela

Zikiwa zimebaki siku chache tuhitimishe safari yetu ya uchumba na kuingia kwenye ndoa takatifu lakini naamua kuvunja mahusiano ,najua ndugu
Soma kisa Cha jamaa mmoja anajiita Koroe
 
Achana na huyo mchumba wako kwa maslahi mapana ya huto binti wa watu.

Ujaribu tena ukishakua tayari kuoa na kukomaa kidogo. Achana na mabo ya kuoa kwa sasa.

Hivi akijakumtafuta huyo jamaa yake wa zamani na iksonekana hakufanya chochote ila ni njama zako, si wewe ndio utaonekana kituko?

Hauoni aibu hata kuitisha watu kikao cha kuvunja uchumba na kutoa hayo maelezo?
 
Hilo ndio tatizo la mademu wa kuokoteleza mitaani. Fukuza hilo ni jinamizi mkuu. Unaweza kuta huyo ex wake ni mimi
 
Mkuu hio namba mpya ulotumia ulisajili kwa jina gani?? Hayo umeyataka mwenyewe yani mimi nilishasema ntamwacha mama junior pale nikapomwona live anagongwa na njemba nyingine hapo ntampa talaka otherwise beer tamu
 
Kama tayari ushaona na umesema mwenyewe kuwa unaweza ukamaliza gunia la mkaa kwa KUUA mtu naona Bora uachane naye tu,usije ukaja kuua kweli Cha msingi tenga Tena muda wako na ujipange utapata unayemtaka kiongozi...
 
58 Reactions
Reply
Back
Top Bottom