GE2025 Kwa kinachoendelea nchini, kwanini asikubali tu yaishe?

GE2025 Kwa kinachoendelea nchini, kwanini asikubali tu yaishe?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Criss

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
1,944
Reaction score
3,090
Leo mida ya saa nne asubuhi nilipitia mahali fulani ,kimsingi mshua alikuwa mkufunzi pale since long time ago so namimi design kama mwanafamily hivii.

Kwakua umepita muda sana bila kuonana nao ,kimsingi sikua kule kitambo kidogo so washkaji wakawa wamehamasika sana walivyoniona tulitoka na kwenda mahali kula na kubadilishana uzowefu .

Nje ya mijadala yetu leo ilikuwa ni kama siku ya jamaa kuconfirm ,kila mmoja alikuwa busy sana kuhusu tukio la 29_10 .

Kanuni ni ile ile Italy (wanaoelewa wataelewa)

jamaa walikuwa wanauziana code kimafia sana ,Ngoma hapo ni vipi pale plus huku na kule ,majibu ni No za kati tu ya vikosi ,idadi ya ma captain na uelekeo wao kwa mtindo wa 123 ikiwekwa Green White Red imeisha hiyo equal to Italy , wagumu kufungua code Ngoma hapo ni Roma shusha Bunduki

So ukiambiwa green white and red jua mkuu wa kikosi tajwa ni upande wa wala ugali .

Wazee Maza hana safari , sijui nini kitakachotokea ila tuliombee Taifa .

Maza kwanini asikubali tu ,maana naona dah! , kilichoniogopesha ni wale ambao hawatakuwa makazini nao wameapa kuwa watakuwa kwenye disco vumbi aisee

Binafsi sikutarajia
 
Kinachotrend ni Uchaguzi vs Maandamano.

Sasa hapo unategemea nini mkuu!

Yaani miaka mingine tulizoea huwa trend inakuwa labda CCM vs TLP, CCM vs CUF, CCM vs CDM nk.

Sasa mwaka huu CCM vs CHAUMA bond imegoma kabisa. Kibao kimegeuka na kuwa CCM vs MAANDAMANO!
 
Ujinga nao kipaji. Mnaodhani hii nchi ni nyepesi poleni sana. Hamtaamini tarehe 29 kitakachotokea.
Tuombeane Mungu kuanzia tarehe 03 na kuendelea tukijaaliwa uzima tutakutana hapa ,kila mmoja atakuja na majibu ya kilichotokea .

Mkuu hii issue iko seriously sana kwenye vitendo vya usalama pengine kuliko ilivyo seriously kwa raia .

Ukitaka kunielewa angalia hata maandalizi yanayofanywa yatakuoa picture, sikulazimishi kuelewa.
 
Cha muhimu usikimbie. Utaishia kutukana tu. Tanzania kwa sasa haina nafasi ya kupita njia hiyo mnayoifikiria. Nakuhakikishia kwa 💯•
 
😂 Utoto raha sana
Mwanzo nilikuwa na mawazo kama yako ,mwanzo nilitegemea hii hali inaweza kuwa nimikwara tu ya ma keyboard warrior ila kwasasa kwa namna ya mambo yalivyo mmmh! Kuna kaaina fulani kahofu kananiingia ,sitatamani kukulazimisha ila tar 29 hali inaweza isiwe nzuri .

Tutakumbushana inshallah Mungu akitujaalia uzima
 
Cha muhimu usikimbie. Utaishia kutukana tu. Tanzania kwa sasa haina nafasi ya kupita njia hiyo mnayoifikiria. Nakuhakikishia kwa 💯•
Aisee kwenye kukimbia naweza nisikimbie ila family kesho lazima nikaihifadhi mahali , No sihitaji ushuhuda zaidi , ukipuuza niuamuzi wako .

Mwanzo nilidhani hii battle ni ya raia pekee ,No mambo ni tofauti sana
 
Usikimbie hapa jukwaani sio kwako. Kwenye masuala ya kiusalama hakunaga puuzo ndio maana unaona hivyo ila sahau hicho unachokifikiria. Tukutane shamba la bibi trh 6-1-11-25
 
Mwanzo nilikuwa na mawazo kama yako ,mwanzo nilitegemea hii hali inaweza kuwa nimikwara tu ya ma keyboard warrior ila kwasasa kwa namna ya mambo yalivyo mmmh! Kuna kaaina fulani kahofu kananiingia ,sitatamani kukulazimisha ila tar 29 hali inaweza isiwe nzuri .

Tutakumbushana inshallah Mungu akitujaalia uzima
Hata wewe unayo mashaka...kwamba hali "inaweza" isiwe nzuri.
Binafsi sioni maandamano.
 
Sasa huyo saa 100 atajuaje kuhusu hao washkaji zako mpaka ashtuke na akubali yaishe? Ambao hata wewe umekiri kukutana nao na kujua kuhusu hizo harakati zao mida ya saa nne asubuhi?

Hiyo ilitakiwa kukupa picha jinsi gani hao washkaji zako walivyo wadogo. It's equivalent of David vs Goliath, except he has an AK47 this time around.
 
Wazee Maza hana safari , sijui nini kitakachotokea ila tuliombee Taifa .

Maza kwanini asikubali tu ,maana naona dah! , kilichoniogopesha ni wale ambao hawatakuwa makazini nao wameapa kuwa watakuwa kwenye disco vumbi aisee

Binafsi sikutarajia
Ikiwa kama ulivyo ielezea itashusha sintofahamu iliyopo kwa kiasi kikubwa sana.

Tuombe hali iwe kama hivyo ulivypo ielezea wewe; lakini fahamu, wewe umesikia toka upande mmoja tu; ule upande wa pili pia watakuwa wanayo ya kwao ya kueleza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom