Asante sana kwa mchango wako Mkuu Makanyaga. Nimefanya ka-reference kidogo na kujiridhisha kuwa jina sahihi la MANATI katika Lugha ya kiingereza ni SLING.
Hata hivyo maneno haya yote mawili--yaani Hilo SLING na SLINGSHOT yote yanaweza kutumika kwa maana hiyo hiyo kwa kuwa SLING ndiyo haswaa jina lenyewe la Manati, lakini kwamba SLINGSHOT ni neno ya Mtaani, au "colloquialism."
Mtu atasema: "Hebu" soma hapa chini, Mwingine atasema "em" soma hapa chini, na mwingine akasema "embu" soma hapa chini na wote watatu wakaeleweka wamesema kitu kilekile: Embu sasa Naomba nikupe kiambatanisho hapa chini kwa ajili ya kukazia somo:
View attachment 82055