kaka,
kama unamuonekano wenye viwango kama vya hawa ktk picha basi fahamu kuwa wewe ni handsome.
nafikiri kuna wagonjwa humu ndani: kila mmoja wenu ana lake na hivyo ndivyo ilivyo.... hamuwezi fanana kwa lolote isipokuwa kuitakia mema Tanganyika yetu itapozaliwa upya. AAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAaaaakkkkkkkhhhhhhhh. Unaona sasa! Hizi ndo tofauti zetu, sijui tuko topic ipi???
KWANGU MIMI NYOTE NI HANDSOME GIRLS NA BEAUTIFUL BOYS! Ohhhh Ma-Inglish yenu haya: Kumbe koko.
Huyo nimtoto wa marehemu Sadam Hussen Uday Husen naye marehemu mmarekani alimuulia mbali!!Huyu Bana kazidi, mwanaume hatakiwi kuwa na sura laini hivi.. Cheki lips hizo!!
well said.
mim hata ukiwa huna proper working Dickson lkn kama una moyo uliojaa mapenzi kwangu na kwa wengine naweza kukukubali na wala sitatafuta wakukusaidia......
well said.
mim hata ukiwa huna proper working Dickson lkn kama una moyo uliojaa mapenzi kwangu na kwa wengine naweza kukukubali na wala sitatafuta wakukusaidia......
Hu handsome nibure kama huna hivi nivitajavyo:-
- Mhogo wa jang'ombe kama nyororo yakuvutia gari wewe nisawa na gari bila injini!!!
- Kama mavumba huna pesa unaomba bia kwa u-hendsome wako wewe nibure kabisa nisawa !!na nacomputer bila harddisk!!
- Kawewe ni "Punga,Lonjo,Bwabwa,*****,mpapai,snge,wewe nikama yai lilioza uwezikutumika tena labda kwa wachawi!!
- Huwe nasura kama ya KK na mawe unayo wote niliowataja juu nikama no 3!!Wewe ndiye handsome!
Umenikuna shosti........kweli wanavutia
Kwa hiyo muwasho umeisha?
usiweke dawa,baki hivyo hivyo,madawa sio mazuri ktk mwili wa binadamu.Hongera kwa kuwa handsome.
Crown Prince Hamdan bin Mohammed Al Maktoum, DubaiHuyo nimtoto wa marehemu Sadam Hussen Uday Husen naye marehemu mmarekani alimuulia mbali!!
why?
mim sivutiwi na wanaume wanaovaa hereni kama huyo aliyevaa kitenge,au wanaosuka au kufuga nywele,au wanaojiremba kwa poda.