Kwa Jobless: Upo wapi mida hii na unafanya nini?

Kwa Jobless: Upo wapi mida hii na unafanya nini?

Wote tunaelewa wakati mtu anapokua hana ajira ,hakika huu ni wakati mgumu saana, kokosa kazi ya kufanya.

Kwenu Jobless:
Upo wapi mda huu unaosoma hii thread,unafafanya nn ?
Je ! Kuna lololote unawaza kulianziasha kwa wakati huu.
Fikra yako inawaza nn ?

Shiriki nasi tukusaidie.
Tushiriki kufanya ya nn? usituzengue tutakutoa ngeu aisee..
 
Jobless nipo Mitaa ya Kanyenye hapa,Maisha yanatisha Usawa unakaba.

Hali ni ngumu napata mawazo kibao ninadamu ya kunguni.

Harakati kibao bado Ulimwengu unataka kunimeza,Ulimwengu hauna huruma.

Nakumbuka siku moja natoka kanyenye nakwenda Isevya (TBR) mida ya jioni mawazo lukuki ghafla nikajikuta nimepiga magoti chini nikainunua mikono Juu nikanena kwa sauti.
"Ulimwengu ndio Mama What'sp Jay Moe"

Wakati mwingine nawaza hivi lini nitakuwa fisadi..? mke na watoto wapate chai safi,gari la kifahari na jumba la kifahari kama ofisi ya serikali.Mawazo ya kifisadi-fisadi.

Nigga nimestay broke Marafiki wanafiki wakichekelea full shangwe kama Fiesta,Wananichekea machoni kisogoni wananisema.

Maisha ni vita, kidume napambana,Kukata tamaa Mwiko.

Dunia ni gunia na gunia halibebi Maji.
 
Niko kwa bro hapa nasubri anipe hela ya mboga nimpikie hela inayobaki ninunue bando niingia zoom
 
DAH NIKO HAPA NIKIANGALIA KIVULI CHANGU.

MADOGO NILIOWAACHA PRE-FORM 1 WAKO CHUO
 
Wote tunaelewa wakati mtu anapokua hana ajira ,hakika huu ni wakati mgumu saana, kokosa kazi ya kufanya.

Kwenu Jobless:
Upo wapi mda huu unaosoma hii thread,unafafanya nn ?
Je ! Kuna lololote unawaza kulianziasha kwa wakati huu.
Fikra yako inawaza nn ?

Shiriki nasi tukusaidie.
Niko nyumbani mida hii[emoji35] [emoji35]
 
Back
Top Bottom