naa
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 1,978
- 4,556
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!Nipo kwa shemeji miguu juu nakunywa juice safi ya matundaView attachment 869978
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!Nipo kwa shemeji miguu juu nakunywa juice safi ya matundaView attachment 869978
Free basic inapatikana kwenye tigo, ni mfumo unaokuwezesha kuingia kwenye baadhi ya blog au web bila mb, 😁😁😁😁😁 inaelekea hujui kabisa chama cha Umoja wa free data (UFD) weyeeNi kitu Gani
Still sijaelewa.Free basic inapatikana kwenye tigo, ni mfumo unaokuwezesha kuingia kwenye baadhi ya blog au web bila mb, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] inaelekea hujui kabisa chama cha Umoja wa free data (UFD) weyee
nipo geto na bet
nikimaliza kuweka mkeka naanza kupiga nyeto
nipo zangu ofisini nimejawa stress mbayaaaa
Hahahaaaunaelewa maana ya jobless mkuu
Hahahaaa
Hahaha mkuu umenikumbusha mbali sana free basicsNipo kwa shemeji hapa nasubiri ugali uive huku naperuz jf kwa freebasics,no bundle
Enzi hizo uko juu ya mawe kishenz,hata nauli ya daladala mpaka uombeHahaha mkuu umenikumbusha mbali sana free basics
Pole na Pona haraka mkuuNipo geto siku ya 4 nmepata aajali natibu majeraha....
Najiuliza je ningevunjia au kufafa ingekuaje, mama, Kid na Shem wako ingekuaje.......!
Nmepata wazo nkipona ni kudubble struggle, ni save for a new investment.
Sometime unapitapita unajikuta kwenye kale kasehemu ka wanawake tu mara mambo ya uzazi hahahEnzi hizo uko juu ya mawe kishenz,hata nauli ya daladala mpaka uombe
I can feel your situation dude!Kabisa mkuu itabid nizangatie maana geto kunakuwa kama jehanamu
Shukrani sana.... Mkuu.Pole na Pona haraka mkuu
japo ni kitambo kuitumia, ila kifupi ni hivi,Still sijaelewa.
au gusa tu hiyo website link hapo kwenye comment ya juujapo ni kitambo kuitumia, ila kifupi ni hivi,
Kama huna bando, kwa laini za voda, tigo, halotel, airtel, unaweza peruzi baashi ya sites mtandaoni bure.
Ila kwa jf nadhani wanaipata wa voda na tigo (current users watarekebisha hapa).
Chakufanya ukiwa na 0 Mb au hauna salio, ni kuwasha data kama kawada, fungua browser yako mfano google chrome, andika www.freebasics.com, itafunguka kinachofuata utajiongeza humohumo.
Au unaweza download app ya freebasics, na steps zikawa ni kuwasha data, fungua app maisha yanaendelea