Kwa Jobless: Upo wapi mida hii na unafanya nini?

Kwa Jobless: Upo wapi mida hii na unafanya nini?

Nipo geto siku ya 4 nmepata aajali natibu majeraha....

Najiuliza je ningevunjia au kufafa ingekuaje, mama, Kid na Shem wako ingekuaje.......!

Nmepata wazo nkipona ni kudubble struggle, ni save for a new investment.
 
Tupo kwenye audition ya kikundi cha kupindua nchi ya afrika
 
Nipo kwa shemeji miguu juu nakunywa juice safi ya matunda
tapatalk_1502225972488.jpeg
 
Niko kwa mshua hapa nacheki kideo huku nikijipooza na maziwa fresh
 
Back
Top Bottom