Kwa Jobless: Upo wapi mida hii na unafanya nini?

japo ni kitambo kuitumia, ila kifupi ni hivi,
Kama huna bando, kwa laini za voda, tigo, halotel, airtel, unaweza peruzi baashi ya sites mtandaoni bure.
Ila kwa jf nadhani wanaipata wa voda na tigo (current users watarekebisha hapa).

Chakufanya ukiwa na 0 Mb au hauna salio, ni kuwasha data kama kawada, fungua browser yako mfano google chrome, andika www.freebasics.com, itafunguka kinachofuata utajiongeza humohumo.

Au unaweza download app ya freebasics, na steps zikawa ni kuwasha data, fungua app maisha yanaendelea
Well done hakuna cha kurekebisha hapo, ila kwa lugha ya kijiweni ya wasomi kwa sasa hivi pia wanaitumia kama mtu anaependa vya bure, ukiambiwa naona mambo ya free basic au ukisikia aaah mpenda free basics ujue inakuhusu hapo. Sasa kama na hapo bado hujaelewa kwa maneno muombe sana Mungu ipo siku utaelewa kwa vitendo
 
Sometime unapitapita unajikuta kwenye kale kasehemu ka wanawake tu mara mambo ya uzazi hahah
Na watu wa lika hili ni wale ambao kipindi hiko walikuwa wanatumia viwembe maarufu aina ya topaz na kama hukutumia basi wewe si muhenga 😁😁😁😁😁😁😁
 
hahahahahahah jamaa leo kaamka na jobless tuwe serious na hili jukwaa........................................................................
 
nipo hapa kwa mjomba nacheck taarifa ya habari nasubiri chakula kikiva nile kisha nikimaliza nitumwe dukani kuchukua pempasi ya mtoto najua kesho akinituma town atanipa nauli ya bajaji shs (500) hiyo nitaibana ntachukua bando kisha nipitie matapeli wa zoom nikisubiri bahati yangu
Bajaj 500?
 
japo ni kitambo kuitumia, ila kifupi ni hivi,
Kama huna bando, kwa laini za voda, tigo, halotel, airtel, unaweza peruzi baashi ya sites mtandaoni bure.
Ila kwa jf nadhani wanaipata wa voda na tigo (current users watarekebisha hapa).

Chakufanya ukiwa na 0 Mb au hauna salio, ni kuwasha data kama kawada, fungua browser yako mfano google chrome, andika www.freebasics.com, itafunguka kinachofuata utajiongeza humohumo.

Au unaweza download app ya freebasics, na steps zikawa ni kuwasha data, fungua app maisha yanaendelea
Hiyo link uliyoandika haitafunguka kama ana 0mb (cha Kuongezea sio lazima uwe na 0 mb ndio ufungue freebasics hata ukiwa na mb inakubali tu) link ni 0.freebasics.com fungua kwa browser ya Google Chrome au opera / operamini
 
Nipo geto siku ya 4 nmepata aajali natibu majeraha....

Najiuliza je ningevunjia au kufafa ingekuaje, mama, Kid na Shem wako ingekuaje.......!

Nmepata wazo nkipona ni kudubble struggle, ni save for a new investment.
Pole mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Oxx
Me nipo hapa nimekwapua simu ya mshua mara moja naangalia porno na kulita jf kabla hajaja kuichukua
 
Hiyo link uliyoandika haitafunguka kama ana 0mb (cha Kuongezea sio lazima uwe na 0 mb ndio ufungue freebasics hata ukiwa na mb inakubali tu) link ni 0.freebasics.com fungua kwa browser ya Google Chrome au opera / operamini
Uko sahihi ila hukuelewa vyema ninachomaanisha.
 
Well done hakuna cha kurekebisha hapo, ila kwa lugha ya kijiweni ya wasomi kwa sasa hivi pia wanaitumia kama mtu anaependa vya bure, ukiambiwa naona mambo ya free basic au ukisikia aaah mpenda free basics ujue inakuhusu hapo. Sasa kama na hapo bado hujaelewa kwa maneno muombe sana Mungu ipo siku utaelewa kwa vitendo
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom