Angalia issue ya Corona: TCRA wanaibuka wanasema itawatia watu ndani.
Angalia issue ya mishahara hewa ya Polisi: Jana, Magufuli anasema pingu mnazo nyie, lock up nyie kwanini msiwakamate?
Angalia issue ya wasiojulikana: Watieni ndani wale wanaorisit issues za watu kutekwa.
Angalia issue ya DPP dhidi ya Mh Lema: DPP anaongea kama mahakama ni yeye na kahukumu tayari, halafu anaongea kwa ujeuri balaa hahahaha. Imebidi Lema amjibu kuwa asimtishe.
Angalia issue ya takwimu: Huruhusiwi kutoa takwimu zozote, hii hata wafadhili wetu walitumaindi. Na ukitoa tu unawekwa ndani!
Angalia kiingereza cha Prof. Ndalichako na Mchina mkandarasi: Don't play with the government we will put you inside until further notice hahahaha. Dah!
Angalia issue ya Akwilina: Imewagharimu akina Mbowe Tsh ml 350. Hahahaha
Angalia issue ya yule dogo aliyeripoti JPM Hostel zina nyufa: Alipelekwapelekwa hadi huruma. Hahahahaha.
Angalia issue ya waziri wa lile Daraja la kuunganisha Moro na Dodoma: Jamaa, Eng Kamwele lakini mkwara aliokuwa anakula ni hatari balaa. Hahahahaha
Angalia issues za DC sabaya:
Hahahahaha.
Matukio ni mengi sana, mnaweza kuongeza.
Je, awamu hii ya JPM ni ya kutishanatishana sana? Ni ya KUKABILIANA na raia wake? Ni kama utawala wa kikoloni?
Tupo Kirwandarwanda!?
Naombeni mnikosoe pengine nina maono potofu. Nisaidie Watanzania wenzangu.
Thanks!