Kwa jambo hili, intelijensia ya ulinzi wa Rais ilifeli

Mtoto Wa Kiume Unaombaje Nauli Kwa Mwanaume Mwenzio?
Kwa hiyo mtoto wa kiume anatakiwa kuomba nauli kwa mwanamke ?

Hivi hujui kwamba misaada ya kifedha inayokuja kuwasaidia wanaume wa Afrika inatokana na jasho la wanaume wa Mabara ya wanaume wenye akili kama Ulaya na Asia.
 
Acha ujing mleta mada, Rais wakati mwingine anaamua kusimama hata kama walinzi watamshauri. Rais ana utashi na uhuru wake pia na kazi ya walinzi ni kumlinda kwenye mazingira yoyote na kamwe hawamzirii na kumuacha peke yake. Huujui ulinzi wa Rais, kaa kimya!!
We jamaa ndio hujui hao jamaa wanampangia hadi muda wa kulala pamoja na huo ukali wa rais unaoujua hujiulizi kwanini hakai na simu yake. Ile namba watu wanaiujua so huwa anapigiwa simu nyingi nyingine zina m fastrate so kumfanya rais a relax wandewa wanakaa na simu zake kukiwa na umuhimu tu ndio wana mpa
 
Kwa hiyo mtoto wa kiume anatakiwa kuomba nauli kwa mwanamke ?

Hivi hujui kwamba misaada ya kifedha inayokuja kuwasaidia wanaume wa Afrika inatokana na jasho la wanaume wa Mabara ya wanaume wenye akili kama Ulaya na Asia.
Kwahiyo Wewe Unaona Fahari Kula Vya Mwanaume Mwenzio?.
 
Mkoa wa mtwara una wilaya hiziz zifuatazo
•Mtwara mikindani
•Mtwara vijijini
•Tandahimba
•Masasi
•Newala
•Nanyumbu.
Hii ya Nachingwea mkuu umeitoa wap?
 
Habari za asubuhi mwanajamii.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais.

Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea
Rais alisimamishwa sehemu isiyo na usalama. Kama lolote lingetokea kuna watu wangewajibishwa kwa uzembe huu uliofanyika.

Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.

Niwaombe hili lisijirudie tena wakuu, tumlinde Rais wetu tumtunze na tuhakikishe usalama kwanza.

View attachment 1236675

View attachment 1236678
Mambo ya ulinzi wa rais wao ndo we waachie wenyew
 
Nachingwea mkoa wa lindi

Tatizo siku hizi mtu akitoa hoja tofauti kidogo mnamwambia aondoke akatafute nchi nyingine na hali ni Mtanzania mwenzenu huo ni utoto[emoji344]acheni hizo wote ni watanzania hakuna aliye juu zaidi ya mwingine.
zamani nyumbani ukisema chakula kibaya unaambiwa nenda kwa mama mwingine anayepika vizuri. ukiona Tanzania ni mbaya haifai kuishi upo huru kuishi popote Duniani tujifunze kupambana kutatua changamoto zinazotukabili na hapo ndiyo mwanzo wa maendeleo. Baniani mbaya lakini kiatu chake ni Dawa.
 
Yesu wangu[emoji134][emoji134]
sawa tu hata kama zingedondoka...watanzania 60m tungetafuta mwingine wa kutuongoza..Baba wa taifa kaondoka miaka 20 imeshapita mbona tupo salama salimini.
 
Mkoa wa mtwara una wilaya hiziz zifuatazo
•Mtwara mikindani
•Mtwara vijijini
•Tandahimba
•Masasi
•Newala
•Nanyumbu.
Hii ya Nachingwea mkuu umeitoa wap?
Ahsante mkuu
 
Habari za asubuhi mwanajamii.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais.

Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea
Rais alisimamishwa sehemu isiyo na usalama. Kama lolote lingetokea kuna watu wangewajibishwa kwa uzembe huu uliofanyika.

Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.

Niwaombe hili lisijirudie tena wakuu, tumlinde Rais wetu tumtunze na tuhakikishe usalama kwanza.

View attachment 1236675

View attachment 1236678
Hongera mkuu huu ndio uzalendo.
 
Ile ibara ya 37(5) ya katiba yetu iliwekwa kwa sababu Kuna Jambo lolote laweza tokeaa
 
Wahusika utawajua tu wamo humu,utawajua kwa comment zao,Mtoa maada umewaumbua,uzembe
Kama huu wakazidiwa ujanja na shofel wa MP
 
Back
Top Bottom