Kwa jambo hili, intelijensia ya ulinzi wa Rais ilifeli

Kwa jambo hili, intelijensia ya ulinzi wa Rais ilifeli

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani naishi Tanzania,? Nimeshaondoka zangu na kuwaacha mpambane na hali zenu, nchi gani hiyo hata kula tu ni tabu, unajiona una nchi na wewe sasa kumbe uko kuzimu tu
 
Magufuli sio mtu wa kubebeleza but anatushughulikia haswa. Naomba raisi ajaje awe kama magufuli.
 
Nguzo na nyaya zingeanguka tu hivi kwanini hazikuanguka.

Unajua ni kwanini?
Mungu ana principle moja…ya kumwacha mtu mbaya ili atubu na amsamehe…!
Lakini akiendelea kushupaza shingo basi lazima aondolewe kwa lazima…!
 
Acha ujing mleta mada, Rais wakati mwingine anaamua kusimama hata kama walinzi watamshauri. Rais ana utashi na uhuru wake pia na kazi ya walinzi ni kumlinda kwenye mazingira yoyote na kamwe hawamzirii na kumuacha peke yake. Huujui ulinzi wa Rais, kaa kimya!!
Only in Africa
 
Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.
Una uhakika kwamba umeme ulikuwemo kwenye hizo nyaya?
Unajua kwamba hilo.gari haliwezi kupigwa shoti ya umeme wala risasi haipenyi
Waacheni.watu wafanye kazi zao,watu wamebobea kwenye hizo fani
 
Ziwake tu siku hii raisi aliyosimama hapo?? Impossible
 
Una uhakika kwamba umeme ulikuwemo kwenye hizo nyaya?
Unajua kwamba hilo.gari haliwezi kupigwa shoti ya umeme wala risasi haipenyi
Waacheni.watu wafanye kazi zao,watu wamebobea kwenye hizo fani

Acha porojo za kufurahisha gumzo…!
Magufuli alikuwa kasimama juu ya gar…iwapo nguzo zingelianguka na nyaya kumwangukia hilo gari lingezuiaje asiwe elecrocuted(kuzurika na umeme kwa kugusa)?
 
Acha porojo za kufurahisha gumzo…!
Magufuli alikuwa kasimama juu ya gar…iwapo nguzo zingelianguka na nyaya kumwangukia hilo gari lingezuiaje asiwe elecrocuted(kuzurika na umeme kwa kugusa)?
Ulikua na tape measure?
Yaani wewe uwe na uwezo wa kugundua hatari kwa rais kuliko watu wa PSU?
Nimekuuliza una uhakika kuwa nyaya hizo zilikua na umeme?
 
Ulikua na tape measure?
Yaani wewe uwe na uwezo wa kugundua hatari kwa rais kuliko watu wa PSU?
Nimekuuliza una uhakika kuwa nyaya hizo zilikua na umeme?

Je,wewe au PSU mlikuwa na Meter ya kupimia Umeme wa HT kuhakikisha hakukuwa na umeme unapita pale?PSU ni wanadamu tu kama wewe na ndo maana Marais huwa wanapinduliwa,wanapigwa risasi,wanapata ajali na wanauawa/kufa…!
 
MKOA
Habari za asubuhi mwanajamii.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais.

Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea
Rais alisimamishwa sehemu isiyo na usalama. Kama lolote lingetokea kuna watu wangewajibishwa kwa uzembe huu uliofanyika.

Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.

Niwaombe hili lisijirudie tena wakuu, tumlinde Rais wetu tumtunze na tuhakikishe usalama kwanza.

View attachment 1236675

View attachment 1236678
WA MTWARA HAUNA WILAYA INAYOITWA Nachingwea!😁😁😂😃
 
Back
Top Bottom