Kwa jambo hili, intelijensia ya ulinzi wa Rais ilifeli

Kwa jambo hili, intelijensia ya ulinzi wa Rais ilifeli

Sion kama kuna shida hapo, umeme mkubwa wote unapita kando ya barabara na Raisi husimama barabarani. Ingekua kwenye mjumuiko wa hadhara hapo sawa. Hukuona alivyoshuka kwenda kuangalia soko, huo ulikua ni utashi wake, usalama hapo inaonekana walihaha, maana walikua hawajajipanga.
 
Tungemshukuru sana BABA MUUMBA kama nguzo hizo zingedondoka na kufanya kazi maridhawa ya kuchoma choma
 
Sion kama kuna shida hapo, umeme mkubwa wote unapita kando ya barabara na Raisi husimama barabarani. Ingekua kwenye mjumuiko wa hadhara hapo sawa. Hukuona alivyoshuka kwenda kuangalia soko, huo ulikua ni utashi wake, usalama hapo inaonekana walihaha, maana walikua hawajajipanga.
shida ungewaka moto ungeamini shida ipo
 
Huwezi mchoka akupae riziki. Ila nyie wasoma namba.Wao check inatema
Hapa ndo umeonyesha upumbavu wako halisi, ,mtoaji wa riziki Mungu tu, hakuna Binadamu anayetoa riziki, Magufuli anaharibu riziki za watu, kaua soko la korosho, pamba, mbaazi, choroko, tangu awe Rais maisha ya watanzania ni magumu kupindukia, wewe ni mgonjwa wa akili kabisa
 
kwa nini uteseke? chuki humchoma anayei hifadhi acha ujinga.
Mjinga ni wewe unayeingilia maoni yangu. Huyo DOG FATHER wako angepigwa shoti akufe tu. ametesa watu sana kwa maumivu makubwa wakati yeye mwenyewe Mwizi na Mlozi wa muda mrefu.
 
Hapa ndo umeonyesha upumbavu wako halisi, ,mtoaji wa riziki Mungu tu, hakuna Binadamu anayetoa riziki, Magufuli anaharibu riziki za watu, kaua soko la korosho, pamba, mbaazi, choroko, tangu awe Rais maisha ya watanzania ni magumu kupindukia, wewe ni mgonjwa wa akili kabisa
ni lini maisha yalikuwa Rahisi bila kujituma na kuwa na mipango ya kujikwamua utimize malengo yako?
acha kufata mkumbo pambana utoke ulipo
 
Hakuna Nchi Dunian ilishindwa Kundelea na Shughuli zake eti kisa Rais Kafa, ni kwamba Bendera itasimamishwa kwa muda nusu mlingoti alafu baadae wanapata kiongozi mwingine mambo yanasonga

Britannica
Kuna kipindi unatamani na hapo pangekuwa na mkata nyaya kama mchomoa betri wa mvomero
 
Mbona hii hoja inamfanya rais kama siyo binadamu wa kawaida? Eti asisimame kwenye nguzo za umeme kisa nini? Hebu tupe mfano wa mtu aliyeangukiwa na nyaya au nguzo za high tension.

Sometimes hata huyo mnayejidai kumtukuza anawashangaa sana na anacheka tu. So sad.
 
Back
Top Bottom