Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,792
Mbona wananchi daily biashara zetu tunauzia chini ya transformer na bado habari zetu hazuitreand.. huyu kusimama saa moja tu inakuwa habari? Kwani ubinadamu una madaraja? Acheni hizo!
Mjinga ni wewe unayeingilia maoni yangu. Huyo DOG FATHER wako angepigwa shoti akufe tu. ametesa watu sana kwa maumivu makubwa wakati yeye mwenyewe Mwizi na Mlozi wa muda mrefu.
Binafsi niliwahi kuangukiwa na waya wa umeme nikafariki na maisha yakaendelea, Rais ni kazi tu kama zilivyo nyingine na haimfanyi kuwa binadamu wa daraja la juu so far akiumwa kichwa anakunywa panadol kama sisi tofauti ni kwamba yeye Panadol yake ataenda kunywea South Afrika huko wakati sisi tunachukua maji ya bombani tunagongea panado na maisha yanaendelea!Mbona hii hoja inamfanya rais kama siyo binadamu wa kawaida? Eti asisimame kwenye nguzo za umeme kisa nini? Hebu tupe mfano wa mtu aliyeangukiwa na nyaya au nguzo za high tension.
Sometimes hata huyo mnayejidai kumtukuza anawashangaa sana na anacheka tu. So sad.
Njoo uchezee kidole mjomba naona una hamuView attachment 1236872kwa hii avatar yako na unayosema hauna tofauti tuleteeni pesa tujenge nchi DPP
Acha ujing mleta mada, Rais wakati mwingine anaamua kusimama hata kama walinzi watamshauri. Rais ana utashi na uhuru wake pia na kazi ya walinzi ni kumlinda kwenye mazingira yoyote na kamwe hawamzirii na kumuacha peke yake. Huujui ulinzi wa Rais, kaa kimya!!
Dunia ina nchi 235,umefika nchi ngapi tangu uzaliwe? Unadhani maisha ya Tanzania ni sawa Australia? Ni sawa na Norway au Finland?ni lini maisha yalikuwa Rahisi bila kujituma na kuwa na mipango ya kujikwamua utimize malengo yako?
acha kufata mkumbo pambana utoke ulipo
Magufuli ndo mtoa "riziki"????Huwezi mchoka akupae riziki. Ila nyie wasoma namba.Wao check inatema
Ukikua utaelewa.Kwani wanalinda bure.uwepo wake wanufaika kwao ndie uwapa rizikiHapa ndo umeonyesha upumbavu wako halisi, ,mtoaji wa riziki Mungu tu, hakuna Binadamu anayetoa riziki, Magufuli anaharibu riziki za watu, kaua soko la korosho, pamba, mbaazi, choroko, tangu awe Rais maisha ya watanzania ni magumu kupindukia, wewe ni mgonjwa wa akili kabisa
Rais ni cheo si mtu.Nchi zinaongozwa na katiba hata asipokuwwpo maisha yanaendelea.Hakuna Nchi Dunian ilishindwa Kundelea na Shughuli zake eti kisa Rais Kafa, ni kwamba Bendera itasimamishwa kwa muda nusu mlingoti alafu baadae wanapata kiongozi mwingine mambo yanasonga
Britannica
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]Haya Nenda Kawaambie Ndugu Zako Kwamba Jamii Forums Kuna Mtu Nimemuita Kilaza Ili Uonekane Mjanja.
Huwezi mchoka akupae riziki. Ila nyie wasoma namba.Wao check inatema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona wananchi daily biashara zetu tunauzia chini ya transformer na bado habari zetu hazuitreand.. huyu kusimama saa moja tu inakuwa habari? Kwani ubinadamu una madaraja? Acheni hizo!
Keshakuwa mungu tayari!Huwezi mchoka akupae riziki. Ila nyie wasoma namba.Wao check inatema