Kwa jambo hili, intelijensia ya ulinzi wa Rais ilifeli

Kwa jambo hili, intelijensia ya ulinzi wa Rais ilifeli

sawa tu hata kama zingedondoka...watanzania 60m tungetafuta mwingine wa kutuongoza..Baba wa taifa kaondoka miaka 20 imeshapita mbona tupo salama salimini.
Tumieni vichwa vyenu kufikiri,,,kichwa chako s cha kufugia nywele tu,,,unaweza ukapewa likes nyingi lakn ukaja kupata maumivu usiyoyasahau ww na ukoo wako
 
Habari za asubuhi mwanajamii.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais.

Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea
Rais alisimamishwa sehemu isiyo na usalama. Kama lolote lingetokea kuna watu wangewajibishwa kwa uzembe huu uliofanyika.

Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.

Niwaombe hili lisijirudie tena wakuu, tumlinde Rais wetu tumtunze na tuhakikishe usalama kwanza.

View attachment 1236675

View attachment 1236678
Acha kutuchosha. Wewe ni tanesco?
 
Huwezi mchoka akupae riziki. Ila nyie wasoma namba.Wao check inatema
Ni ujinga kumtegemea mwanadam..Riziki utoka kwa Mungu sio mwanadam,
Kukaa kimya sometimes ni akili na busara.
Now look how you've expose your brainless head!
 
Ni ujinga kumtegemea mwanadam..Riziki utoka kwa Mungu sio mwanadam,
Kukaa kimya sometimes ni akili na busara.
Now look how you've expose your brainless head!
Ukikua utaelewa fahisi.
 
Habari za asubuhi mwanajamii.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais.

Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea
Rais alisimamishwa sehemu isiyo na usalama. Kama lolote lingetokea kuna watu wangewajibishwa kwa uzembe huu uliofanyika.

Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.

Niwaombe hili lisijirudie tena wakuu, tumlinde Rais wetu tumtunze na tuhakikishe usalama kwanza.

View attachment 1236675

View attachment 1236678

Yawezekana hilo ndilo labda limesababisha ' Dar es Salaam to Berlin Impromptu Tour ' Ndugu au?
 
Acha ujing mleta mada, Rais wakati mwingine anaamua kusimama hata kama walinzi watamshauri. Rais ana utashi na uhuru wake pia na kazi ya walinzi ni kumlinda kwenye mazingira yoyote na kamwe hawamzirii na kumuacha peke yake. Huujui ulinzi wa Rais, kaa kimya!!
Alichozungumzia mtoa mada ni kuwa kasimama juu ya line kubwa ya Umeme,chukulia mfano huo waya wake ukakatika utadondokea wapi
 
Hapa ndo umeonyesha upumbavu wako halisi, ,mtoaji wa riziki Mungu tu, hakuna Binadamu anayetoa riziki, Magufuli anaharibu riziki za watu, kaua soko la korosho, pamba, mbaazi, choroko, tangu awe Rais maisha ya watanzania ni magumu kupindukia, wewe ni mgonjwa wa akili kabisa
na tumbaku
 
Mbona wananchi daily biashara zetu tunauzia chini ya transformer na bado habari zetu hazuitreand.. huyu kusimama saa moja tu inakuwa habari? Kwani ubinadamu una madaraja? Acheni hizo!
Sababu ya ujinga wenu,mtu yeyote mwenye akili zake hawezi fanya ujinga huo
 
Dunia ina nchi 235,umefika nchi ngapi tangu uzaliwe? Unadhani maisha ya Tanzania ni sawa Australia? Ni sawa na Norway au Finland?
Kuna watu hawapambani kwa lolote na wanaishi vizuri kabisa, Tanzania unaweza ukapambana na usifanikiwe, wewe naye unaishi Kwenye nchi au takataka tu? Wewe naye una kiongozi au jongoo tu?
Kwanza hujui kwanini unapiga kura ili kiongozi akufanyie nini, wewe kichwani ni mweupe kupindukia, ingekuwa unaishi nchi zenye maendeleo ambazo ma jobless hupewa Huduma zote muhimu na serikali, ungekuwa umeweka picha ya Waziri mkuu Turnbolt na kumwabudu Kama mungu wako .
Nchi gani hiyo unayoona eti nayo ina kiongozi! nchi ambayo mtu kula wali nyama na soda eti ana maisha mazuri, nchi ambayo mtu kumiliki gari eti ana maisha mazuri ,wakati hizo ni basic needs tu .
Eti Magufuli anatoa riziki Kwa akili zako hizo ndogo za mlenda sikutofautishi na nyani
mie nimefika nchi zaidi ya 26 Africa,ulaya na marekani,the only thing naweza kukuambia ni kwamba, sisi watanzania kweli wengi wetu tu maiti though tunatembea na kudhani bado tunaishi,ndo maana unaona kuna maiti zingine humu hazioni hatari ya rais kusimama na kukusanya watu chini ya umeme mkubwa,wataonaje hatari hiyo wakati ni maiti already
 
Acha ujing mleta mada, Rais wakati mwingine anaamua kusimama hata kama walinzi watamshauri. Rais ana utashi na uhuru wake pia na kazi ya walinzi ni kumlinda kwenye mazingira yoyote na kamwe hawamzirii na kumuacha peke yake. Huujui ulinzi wa Rais, kaa kimya!!
hakuna kitu kama icho usalama wa raisi upo chini ya presidential guard. raisi hasimami tu kila sehemu au kufanya lolote bila ya wana usalama wake kuthibitisha pana hali shwari. ..sehemu zote anazisimama sio kwa bahati mbaya huwa upangwa kabisa na ulinzi uimarishwa
 
Acha kujikomba wewe…!
Hivi hujui kwamba huyu Magufuli ni Amiri Jeshi mkuu aliye mbishi kuliko wote?
Huyu hata ikitokea siku kimenuka na Ikulu imetekwa akaambiwa asisogeze pua huko atang'ang'ana kuingia Ikulu…!
Mkuu huyu ni mbishi kwenye mambo yanayohusu kuneemesha watanzania,ila kwenye mambo yanayomnufaisha yeye binafsi yupo tofauti
 
Hakuna Nchi Dunian ilishindwa Kundelea na Shughuli zake eti kisa Rais Kafa, ni kwamba Bendera itasimamishwa kwa muda nusu mlingoti alafu baadae wanapata kiongozi mwingine mambo yanasonga

Britannica

Afrika hii?.

Majaaliwa atataka awe Rais, Bashite atataka, Membe atataka fulani na fulan nao watataka.
 
Back
Top Bottom