Kwa jambo hili, intelijensia ya ulinzi wa Rais ilifeli

Habari za asubuhi mwanajamii.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais.

Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea
Rais alisimamishwa sehemu isiyo na usalama. Kama lolote lingetokea kuna watu wangewajibishwa kwa uzembe huu uliofanyika.

Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.

Niwaombe hili lisijirudie tena wakuu, tumlinde Rais wetu tumtunze na tuhakikishe usalama kwanza.

View attachment 1236675

View attachment 1236678
kwani kulikuwa Na mvua inanyesha?
 
Tatizo siku hizi mtu akitoa hoja tofauti kidogo mnamwambia aondoke akatafute nchi nyingine na hali ni Mtanzania mwenzenu huo ni utoto[emoji344]acheni hizo wote ni watanzania hakuna aliye juu zaidi ya mwingine.

Kwa sasa kuna katabia ka watu washenx sana toka chama Twawala…!Wao wanafikiri mtu akiwa na mawazo tofauti wanamwambia AHAME NCHI…! Wanajiona wana hati miliki ya nchi hii…Hiki ni kibri cha kulewa madaraka na lazima kikemewe na kulaaniwa kwa nguvu zote…!
 
Wengi wanaotoa hizo kauli utanzania wao ni wamashaka
 
Habari za asubuhi mwanajamii.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais.

Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea
Rais alisimamishwa sehemu isiyo na usalama. Kama lolote lingetokea kuna watu wangewajibishwa kwa uzembe huu uliofanyika.

Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.

Niwaombe hili lisijirudie tena wakuu, tumlinde Rais wetu tumtunze na tuhakikishe usalama kwanza.

View attachment 1236675

View attachment 1236678
watakwambia alisimamishwa na wananchi . thubutuuuuuu usimamishe msafara wa raisi bila kupanga nae hujitaki? raisi mwenyewe alindwa kwa uzio
 
Habari za asubuhi mwanajamii.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais.

Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea
Rais alisimamishwa sehemu isiyo na usalama. Kama lolote lingetokea kuna watu wangewajibishwa kwa uzembe huu uliofanyika.

Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.

Niwaombe hili lisijirudie tena wakuu, tumlinde Rais wetu tumtunze na tuhakikishe usalama kwanza.

View attachment 1236675

View attachment 1236678
Alikufa John Kennedy wa USAna maisha yakaendelea sembuse jiwe....
 
Nikusahihishe Nachingwea ipo mkoa wa Lindi na siyo Mtwara. Jiografia usiisahau namna hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha unafiki kijana sasa kama unahisi umezaliwa katika nchi usiyopenda si uondoke utuachie nchi yetu ukaishi huko kwenye maisha mazuri.
."Mungu ndiye mtoa riziki." imeisha hiyo . kutokumpenda kwako hakumzuii kutenda majukumu yake ya kila siku na siku zinaenda kama kawaida.
Unadhani naishi Tanzania,? Nimeshaondoka zangu na kuwaacha mpambane na hali zenu, nchi gani hiyo hata kula tu ni tabu, unajiona una nchi na wewe sasa kumbe uko kuzimu tu
 
Back
Top Bottom