Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,514
mbona tumeshajua uchangiaji wako tayaliNaogopa ban ningechangia
mbona tumeshajua uchangiaji wako tayaliNaogopa ban ningechangia
Acha unafiki kijana sasa kama unahisi umezaliwa katika nchi usiyopenda si uondoke utuachie nchi yetu ukaishi huko kwenye maisha mazuri.Dunia ina nchi 235,umefika nchi ngapi tangu uzaliwe? Unadhani maisha ya Tanzania ni sawa Australia? Ni sawa na Norway au Finland?
Kuna watu hawapambani kwa lolote na wanaishi vizuri kabisa, Tanzania unaweza ukapambana na usifanikiwe, wewe naye unaishi Kwenye nchi au takataka tu? Wewe naye una kiongozi au jongoo tu?
Kwanza hujui kwanini unapiga kura ili kiongozi akufanyie nini, wewe kichwani ni mweupe kupindukia, ingekuwa unaishi nchi zenye maendeleo ambazo ma jobless hupewa Huduma zote muhimu na serikali, ungekuwa umeweka picha ya Waziri mkuu Turnbolt na kumwabudu Kama mungu wako .
Nchi gani hiyo unayoona eti nayo ina kiongozi! nchi ambayo mtu kula wali nyama na soda eti ana maisha mazuri, nchi ambayo mtu kumiliki gari eti ana maisha mazuri ,wakati hizo ni basic needs tu .
Eti Magufuli anatoa riziki Kwa akili zako hizo ndogo za mlenda sikutofautishi na nyani
Ooh kumbe tupo salama salimini ...hongera CCM kwa kutuweka salama ..[emoji41][emoji41]sawa tu hata kama zingedondoka...watanzania 60m tungetafuta mwingine wa kutuongoza..Baba wa taifa kaondoka miaka 20 imeshapita mbona tupo salama salimini.
ndio maana wana m pack tu popote naonaHao walinzi unaowasema Pia Nao Wameshamchoka..
Mkuu inaonekana wewe ni miongoni mwa Hao walinzi wa Rais , hammtakii maisha marefu Rais.Hakuna Nchi Dunian ilishindwa Kundelea na Shughuli zake eti kisa Rais Kafa, ni kwamba Bendera itasimamishwa kwa muda nusu mlingoti alafu baadae wanapata kiongozi mwingine mambo yanasonga
Britannica
Hahaaaaa ......hakika hili Rais Wangu Magufuli akiliona atafuta walinzi wote na kuajiri wapya. Unajua ile ni kifo kabisa??ndio maana wana m pack tu popote naona
Mkuu hatariMkuu inaonekana wewe ni miongoni mwa Hao walinzi wa Rais , hammtakii maisha marefu Rais.
yeye anahutubia tu huku gari linasonga karibu na Waya wa KV30.
Mmeshindwa kumpata Mwenyekiti mnamng'ang'ania Mbowe hadi afe halafu unaropoka hapa! Pumbavu!sawa tu hata kama zingedondoka...watanzania 60m tungetafuta mwingine wa kutuongoza..Baba wa taifa kaondoka miaka 20 imeshapita mbona tupo salama salimini.
Kwani binadamu anatoa riziki?Huwezi mchoka akupae riziki. Ila nyie wasoma namba.Wao check inatema
Habari za asubuhi mwanajamii.
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais.
Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea
Rais alisimamishwa sehemu isiyo na usalama. Kama lolote lingetokea kuna watu wangewajibishwa kwa uzembe huu uliofanyika.
Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.
Niwaombe hili lisijirudie tena wakuu, tumlinde Rais wetu tumtunze na tuhakikishe usalama kwanza.
View attachment 1236675
View attachment 1236678
Hapana mm sio engineer mkuuvizuri Engineer
Hao walinzi unaowasema Pia Nao Wameshamchoka..
Mkuu naona unamuamini sana mello....kumbuka nae ana familia na anasomesha akibanwa vizuri ndeke anakuanika vizuri na wazee wanakuja kukudabua kama dagaa kwenye bakuli la mchuzi.Hao walinzi unaowasema Pia Nao Wameshamchoka..
Tatizo siku hizi mtu akitoa hoja tofauti kidogo mnamwambia aondoke akatafute nchi nyingine na hali ni Mtanzania mwenzenu huo ni utoto[emoji344]acheni hizo wote ni watanzania hakuna aliye juu zaidi ya mwingine.Acha unafiki kijana sasa kama unahisi umezaliwa katika nchi usiyopenda si uondoke utuachie nchi yetu ukaishi huko kwenye maisha mazuri.
."Mungu ndiye mtoa riziki." imeisha hiyo . kutokumpenda kwako hakumzuii kutenda majukumu yake ya kila siku na siku zinaenda kama kawaida.
SawaUkiona huelewi jambo, ujue hilo jambo halikuwa la kwako.
Nipe nauliHaya Nenda Kawaambie Ndugu Zako Kwamba Jamii Forums Kuna Mtu Nimemuita Kilaza Ili Uonekane Mjanja.
Mtoto Wa Kiume Unaombaje Nauli Kwa Mwanaume Mwenzio?Nipe nauli