Kwa jambo hili, intelijensia ya ulinzi wa Rais ilifeli

Kwa jambo hili, intelijensia ya ulinzi wa Rais ilifeli

mie nimefika nchi zaidi ya 26 Africa,ulaya na marekani,the only thing naweza kukuambia ni kwamba, sisi watanzania kweli wengi wetu tu maiti though tunatembea na kudhani bado tunaishi,ndo maana unaona kuna maiti zingine humu hazioni hatari ya rais kusimama na kukusanya watu chini ya umeme mkubwa,wataonaje hatari hiyo wakati ni maiti already
Unamaanisha hata huyo aliyesimama hana ufahamu wa kutosha? Kwanini asitumie PhD aliyosomea kuelewa vitu basic asubiri mpaka wamshauri?
 
Unajua ni nn bro?
Yangelitokea yaleyale ya Morogoro mtu kuchomoa Betri huku wengine wakichota mafuta! Pale kulikuwa na mamia ya watu wakitaka kumsikiliza JPM na kukiwa na magari ya msafara wa Rais zaidi ya 20+Halafu machz flan wanattea ujinga!Tz ni shidaaa!
 
Tumieni vichwa vyenu kufikiri,,,kichwa chako s cha kufugia nywele tu,,,unaweza ukapewa likes nyingi lakn ukaja kupata maumivu usiyoyasahau ww na ukoo wako
Nahisi wewe ndo hutumii kichwa kufikiri,umeandika nini sasa hapa
 
Unamaanisha hata huyo aliyesimama hana ufahamu wa kutosha? Kwanini asitumie PhD aliyosomea kuelewa vitu basic asubiri mpaka wamshauri?
Sijasema hivyo ila jambo moja ninalolijua ni kuwa nae ni mtanzania
 
Habari za asubuhi mwanajamii.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli ila hapa niliona mapungufu kwa wasimamizi wa ulinzi wa rais.

Mnamo tarehe 16.09.2019 Rais akiwa katika muendelezo wa ziara zake Mkoa wa Mtwara wilaya ya Nachingwea
Rais alisimamishwa sehemu isiyo na usalama. Kama lolote lingetokea kuna watu wangewajibishwa kwa uzembe huu uliofanyika.

Gari alilokuwa analitumia liliegeshwa chini ya umeme wa High Tension kwa muda usiopungua saa 1 ambapo kwa hali ya mvua zinazoendelea kunyesha, ubora wa line hizo nao hupungua na hata chini ya nguzo hizo za umeme kuna onyo la hatari kufanya shughuli za aina yoyote katika mazingira hayo.

Niwaombe hili lisijirudie tena wakuu, tumlinde Rais wetu tumtunze na tuhakikishe usalama kwanza.

View attachment 1236675

View attachment 1236678
Kwani yeye amekuja kupandwa hapa duniani ?, anaweza kuondoka tu ili akakutane na aliowatanguliza huko ahera wamueleze yanayoendelea huko.
 
Back
Top Bottom