Kwa ilivyo hali ya kisiasa Tanzania , je ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali inaweza kuaminika?

Porojo za UKAWA science is a Science ikionesha kuwa Damu au Mkojo wa Mbowe una Heroine sidhani kama Mkemia mkuu wa Kenya atakua na kipimo kitakachopima tofauti.
Usiwe punguani! Kwa watu makini katika kazi zao wanapotaka kupata matokeo sahihi hupeleka samples katika maabara tofauti ili kulinganisha matokeo! Katika kazi za maabara kuna makosa mengi sana ya kibinadamu hutokea!

So Laboratory comparison is necessary!
 
Inawezekana ikapimwa sampuli ya TID iliyobandikwa jina la Mbowe, na majibu yakatangazwa kuwa ni ya Mbowe. Hivyo ndivyo inavyoweza kufanyika IKIWA kuna maagizo kutoka juu. Kwani kuna mtu anasimamia mchakato wa kuhakikisha kuwa kweli sampuli iliyochukuliwa toka kwa mtuhumiwa ndiyo iliyopimwa, au kama imepimwa kwa usahihi na majibu sahihi ndiyo yaliyotangazwa kuhusu mtuhumiwa huyo? Hapa namaanisha mtu ambaye ana maslahi na mtuhumiwa, mtu ambaye katika hali ya kawaida hawezi ku-conspire au hata kutishwa na wale waishio "juu"!!

Nina hakika unaelewa kuwa ukweli ni mpana zaidi kuliko hicho ulichoongea.
Hiinayo yakuifikiria sana sana maana yawezwa kugeuzwa ndivyo sivyo na ndio maana operation ikauhusisha mateja halisi ili kupata sample zao za mkojo na kuja kuwabambikia watu wengine"
 
Kwanini walioshutumiwa hawajakata rufaa kuwa sample zao zipelekwe sehemu nyingine wewe ndo unaonekana siyo Great thinker kwa kujaribu hata kuingilia elimu usiyokua Nayo na vipimo vya kisayansi.

Mkuu hujawahi sikia watu kubambikiwa kesi na vyombo vyetu vya usalama?!
 
Inawezekana ikapimwa sampuli ya TID iliyobandikwa jina la Mbowe, na majibu yakatangazwa kuwa ni ya Mbowe. Hivyo ndivyo inavyoweza kufanyika IKIWA kuna maagizo kutoka juu. Kwani kuna mtu anasimamia mchakato wa kuhakikisha kuwa kweli sampuli iliyochukuliwa toka kwa mtuhumiwa ndiyo iliyopimwa, au kama imepimwa kwa usahihi na majibu sahihi ndiyo yaliyotangazwa kuhusu mtuhumiwa huyo? Hapa namaanisha mtu ambaye ana maslahi na mtuhumiwa, mtu ambaye katika hali ya kawaida hawezi ku-conspire au hata kutishwa na wale waishio "juu"!!

Nina hakika unaelewa kuwa ukweli ni mpana zaidi kuliko hicho ulichoongea.
Mungu akulinde sana .
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?

Kwa hiyo unashauri hiyo Taasisi ihamishiwe UFIPA?
 
Usiwe punguani! Kwa watu makini katika kazi zao wanapotaka kupata matokeo sahihi hupeleka samples katika maabara tofauti ili kulinganisha matokeo! Katika kazi za maabara kuna makosa mengi sana ya kibinadamu hutokea!

So Laboratory comparison is necessary!
Hajui lolote kuhusu vipimo vya maabara huyo.
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?
Imani yetu imani yako ? na hiyo imani imekuja baada ya M/kiti wako kuwa kona na ngada ? acha ujinga mwambie akapimwe tu hamna namna kama mtumiaji tutamsaidia kumpeleka Sober.
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?
Neno
 
Porojo za UKAWA science is a Science ikionesha kuwa Damu au Mkojo wa Mbowe una Heroine sidhani kama Mkemia mkuu wa Kenya atakua na kipimo kitakachopima tofauti.
Kwa kawaida hapa kuna. masuala mawili kwanza kuhojiwa pili kutolewa sample za mkojo au damu .Kwa hiyo mtu anapoenda kutolewa sample inabidi zichukuliwe sample mbili mbili yaani mkojo sample 2 na damu sample. 2 . Hakuna tofauti na wale wanariadha ambao wanatumia madawa ya kuongeza nguvu .Inabidi zichukuliwe sample 2 na moja inahifadhiwa na nyingine ndio inapimwa ,Hii inatokana na sababu kama mtumiaji hajaridhika na majibu ya mkemia mkuu ndio inatolewa ile sample ya pili kupimwa na maabara tofauti.Sijui kama ukienda kwa mkemia mkuu leo utakuta sample ya pili ya Manji.Lakini kama mtu alepimwa ameridhika na majibu hakuna tatizo
 
Kwanini walioshutumiwa hawajakata rufaa kuwa sample zao zipelekwe sehemu nyingine wewe ndo unaonekana siyo Great thinker kwa kujaribu hata kuingilia elimu usiyokua Nayo na vipimo vya kisayansi.
Wengi wao hawakuhitaji mkemia wanajulikana wanatumia gharama za bure na muda umetumika.
 
Vipi wakimpima kina ne n inu no? hawawezi kuona vimelea vya Ivory coast?
 
Vipi wakimpima kinaneninonu? hawawezi kuona vimelea vya Ivory coast kweli?
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?

Subiri usiwe na haraka! Usimwage mchele kwenye Kuku wengine. Hiyo kazi waachie wenyewe taaluma yao. Mbele ya Pilato hakunaga maneno!
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?
Upo very correct Mkuu..
Utawaamini vipi wakati Nchi kwa sasa inaendeshwa kwa visasi na chuki tupu hii.
Hawa mabwana rahisi sana kufanya kazi kwa instructions.
 
Usiwe punguani! Kwa watu makini katika kazi zao wanapotaka kupata matokeo sahihi hupeleka samples katika maabara tofauti ili kulinganisha matokeo! Katika kazi za maabara kuna makosa mengi sana ya kibinadamu hutokea!

So Laboratory comparison is necessary!
Nilipima malaria Muhimbili majibu yakaonesha sina nikaenda dispensary uswazi majibu yakaonesha nina malaria!Aache upunguani,kukariri na kuamini kirahisi rahisi
 
Back
Top Bottom