Kwa ilivyo hali ya kisiasa Tanzania , je ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali inaweza kuaminika?

Msiwe na wasiwasi waungwana na tuziamini mahakama zetu tu na zinatenda haki. Otherwise, ushahidi wa Daktari kuhusu vipimo uwa ni kama OPINION tu na Judge au Hakimu hafungwi na vipimo vya Daktari. Kinachomtia mtu hatiani ni DIRECT EVIDENCE ila wa Kitabibu is Just a mere opinion.
Ni kweli mjita wasu!
 
Watanzania tumekuwa watu kuzua vitu bila chembe ya ushahidi!

TRA mapato yao ya mwezi - yamepikwa!
Ukumu za kesi - majaji wamepewa maelezo!

Sasa ni kipi cha kwetu ni kizuri na tunakiamini?
 
Kwa maelezo ya Sianga, complexity ya mtandao wa dawa za kulevya ni kali sana na kila kitu kinawezekana, Mimi naamini hatujafikia hatua ya hadi vyombo vyetu kitaaluma kuingiliwa lakini kama ikitokea naamini itakuwa kwa positive kusomwa negative kuliko kinyume chake.
 
Porojo za UKAWA science is a Science ikionesha kuwa Damu au Mkojo wa Mbowe una Heroine sidhani kama Mkemia mkuu wa Kenya atakua na kipimo kitakachopima tofauti.
Je hujawahi kusikia vipimo vya DNA kwa mtu mmoja vikatofautiana katika sehemu mbili tofauti walizoenda kupima? Kwa hiyo hili kupokea maagizo si kitu kipya kwa huu utawala wa visasi... Kama majaji wanaagizwa itakuwaje wakemia?
 
Porojo za UKAWA science is a Science ikionesha kuwa Damu au Mkojo wa Mbowe una Heroine sidhani kama Mkemia mkuu wa Kenya atakua na kipimo kitakachopima tofauti.
Unalikumbuka sakata la NGANO ya Bakharesa mwaka 1995? Ofisi hiyo hiyo ilipima na kukuta ile NGANO ime expire, serikali ikaimwaga yote ingawa ninacho jua Bakheresa alikwenda huko duniani na ikathibitika vinginevyo, taarifa zisizo rasmi zinasema Bakheresa alilipwa hadi senti ya mwisho. Tusimpuuze mleta HOJA cause anayo HOJA na ushahidi huo hapo wa Bakheresa.
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?
mkuu hiyo maabala haina tofauti yoyote na tume ya sasa ya uchaguzi.
 
Unalikumbuka sakata la NGANO ya Bakharesa mwaka 1995? Ofisi hiyo hiyo ilipima na kukuta ile NGANO ime expire, serikali ikaimwaga yote ingawa ninacho jua Bakheresa alikwenda huko duniani na ikathibitika vinginevyo, taarifa zisizo rasmi zinasema Bakheresa alilipwa hadi senti ya mwisho. Tusimpuuze mleta HOJA cause anayo HOJA na ushahidi huo hapo wa Bakheresa.
I was 5-year old kid
 
Upo very correct Mkuu..
Utawaamini vipi wakati Nchi kwa sasa inaendeshwa kwa visasi na chuki tupu hii.
Hawa mabwana rahisi sana kufanya kazi kwa instructions.
Ulikuwa mpango wa kishamba ulioratibiwa na watu wenye uwezo mdogo sana , halafu kuna watu wanachekelea .
 
Unalikumbuka sakata la NGANO ya Bakharesa mwaka 1995? Ofisi hiyo hiyo ilipima na kukuta ile NGANO ime expire, serikali ikaimwaga yote ingawa ninacho jua Bakheresa alikwenda huko duniani na ikathibitika vinginevyo, taarifa zisizo rasmi zinasema Bakheresa alilipwa hadi senti ya mwisho. Tusimpuuze mleta HOJA cause anayo HOJA na ushahidi huo hapo wa Bakheresa.
Mungu aliye hai milele akubariki sana .
 
Porojo za UKAWA science is a Science ikionesha kuwa Damu au Mkojo wa Mbowe una Heroine sidhani kama Mkemia mkuu wa Kenya atakua na kipimo kitakachopima tofauti.

Acha Porojo za Siasa!

Kocha wa Timu ya Riadha ya Urusi aliweza kuhadaa Wakemia wa Kimataifa kwa kuweka Mkojo wake ukapimwe badala ya Wachezaji wake waliotumia dawa za kuongeza nguvu na Matokeo yakaonesha hawakutumia dawa mpaka ilipokuja kugundulika mbinu hii!

Mkemia Kazi yake itakuwa kupima Mkojo sio kuthibitisha Mkojo aliopima ni wa nani na hapo ndio changamoto ya kisheria na kiushahidi inaibuka!

Pengine Mkojo wa TID kwny Test tube uliandikwa wa Yusuph Manji na wa Yusuph Manji ukaandikwa wa Dr. Josephat Gwajima

Wataalam wetu ni Makanja sana na tuna haki ya kuwa na Mashaka nao.

Madaktari Kama waliweza kuchanganya wa Kupasuliwa Mguu akapasuliwa kichwa na wa Kichwa akapasuliwa Mguu basi chochote chawezekana!
 
Nilipima malaria Muhimbili majibu yakaonesha sina nikaenda dispensary uswazi majibu yakaonesha nina malaria!Aache upunguani,kukariri na kuamini kirahisi rahisi

Sio malaria tuuu.
Nilifanya UPT test majibu negative. Baada ya wiki nikafanya hospitali nyengne yakaja positive.
This is Danganyika. Kila kitu kina try and error
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?
Ofisi ya Mkemia Mkuu ipo siku na hata sasa ipo. Kwanini wasiwasi uwepo pale inapohaminika yule kiongoI mkuu anaweza kupelekwa huko?
 
rejea hotuba ya gwajima...anasema vipimo inafanyika kwa uwazi bila shaka
 
Mpimaji asiye na maadili aweza kutoa majibu kulingana na anavyopenda yeye akiamua kufanya hivyo.
Hata hivyo, ni muhimu kwanza kumuamini mpimaji wa serikali hadi pale ambapo kuna sababu za msingi kabisa za kutilia shaka matokeo ya vipimo na hivyo kutafuta maabara tofauti za kulinganisha.
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?
Unavyowaza inaweza kuwa kweli maana taasisi za umma na za binafsi siku hizi zimekuwa makachero wa serikali mfano TCRA na makampuni ya simu (Vodacom)
 
Back
Top Bottom