Kwa ilivyo hali ya kisiasa Tanzania , je ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali inaweza kuaminika?

Ata mm nina waswas siku zote ni Mbowe, Manji na akina Gwajima wakati tetes zaonyesha kuna vigogo ata rais alisema mapa washikwe mbona ni upinzani tu
 
Porojo za UKAWA science is a Science ikionesha kuwa Damu au Mkojo wa Mbowe una Heroine sidhani kama Mkemia mkuu wa Kenya atakua na kipimo kitakachopima tofauti.
Unajua withdrawal time ya hayo madawa?

Two weeks zimepita tangu waitwe. Hivi unafikiri bado yataonekana kwa vipimo vya damu au mkojo? Akikutwa positive kwa hivyo vipimo basi ni mjinga au ni Teja kikweli kweli.
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?
Kama wakifanya kwa kufuata maelekezo wanakuwa wamechemsha. Credibility ya hizo results ni rahisi kuziquestion mahakamani. Hivyo kama mahakama ikiamua kupima kupitia independent lab, wataaibika.
 
Kwanini walioshutumiwa hawajakata rufaa kuwa sample zao zipelekwe sehemu nyingine wewe ndo unaonekana siyo Great thinker kwa kujaribu hata kuingilia elimu usiyokua Nayo na vipimo vya kisayansi.
Sayansi ya siasa unaijua ?
 
Porojo za UKAWA science is a Science ikionesha kuwa Damu au Mkojo wa Mbowe una Heroine sidhani kama Mkemia mkuu wa Kenya atakua na kipimo kitakachopima tofauti.
Kwanza Elewa Hoja inasemaje ndio uchangie usikurupuke mtoa mada hajazungumzia results za vipimo amezungumzia ofisi ya mkemia.
 
Kisa Mbowe watu mnaanza kuhoji hadi sayansi, kwa misingi hiyo hakuna kinachoaminika Tanzania kwa sasa. Huko Mahakamani mlikompeleka Makonda pia hakuaminiki lakini mnakimbilia huko.

Acheni taratibu zifuatwe, na chama chenu kimeingia kati kumkingia kifua Mbowe kwa mambo yake binafsi kiwe tayari pia kupokea lolote chanya au hasi litakalo tokana na hili sakata.
 
Haina haja ya mkemia, wamkalishe chini ya uangalizi mkali wa polisi wiki moja kuhakikisha hatumii haata chembe ya dawa za kulevya. Kama ni mtu aliyezoea kutumia mara kwa mara ataumbuka tu kama ilivyokua kwa manji ambao walimuona vizuri siku zile mahakamani, huhitaji mkemia mkuu kuthibitisha
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?
Mkuu kila mtu hupokea naagizo kutoka juu. Wewe hapo umeagizwa kuhoji iadilifu wa serkali umesahau kuwa serkali ina viongozi wa kuchaguliwa
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?

Unataka nini haswa?
 
Wakimataifa kila kilevi au dawa ina "chemical properties" zake.
Uchambuzi ukifanyika zitajulikana ni nini na za lini.
Kwa hiyo hapo hakuna shaka ukitumia chemical properties.
ata Ganja pia ina chemical properties?
 
Ofisi ya Mkemia Mkuu ipo siku na hata sasa ipo. Kwanini wasiwasi uwepo pale inapohaminika yule kiongoI mkuu anaweza kupelekwa huko?
HApo juu nimeeleza habari za ngano ya Bakheresa; naleta nyingine. MWaka 1992 Mkemia mkuu wa serikali alipima NGANO ya Mohamed Enterprises na ikaonekana haifai kwa matumizi ya binadamu (hu ulikua UNGA kabisa kwenye magodauni yake) but chini ya mwezi mmoja mkemia mkuu akiwa kabadirishwa nae akapima but majibu yakaja tofauti. Tunaposema tunazo doubt we mean it cause tunazo kumbukumbu. Usibishe tu kwasababu you have freedom to speak, bisha kwasababu unazo facts.
 
Back
Top Bottom