Kwa ilivyo hali ya kisiasa Tanzania , je ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali inaweza kuaminika?

Porojo za UKAWA science is a Science ikionesha kuwa Damu au Mkojo wa Mbowe una Heroine sidhani kama Mkemia mkuu wa Kenya atakua na kipimo kitakachopima tofauti.

Hujui mantiki ya mleta hoja kwa vile wewe umekaririshwa kusifu na kuabudu walioko madarakani.
 
Mpimaji asiye na maadili aweza kutoa majibu kulingana na anavyopenda yeye akiamua kufanya hivyo.
Hata hivyo, ni muhimu kwanza kumuamini mpimaji wa serikali hadi pale ambapo kuna sababu za msingi kabisa za kutilia shaka matokeo ya vipimo na hivyo kutafuta maabara tofauti za kulinganisha.
Mpimaji aliyewekewa mtutu kisogoni atatenda kama sheria inavyomtaka ?
 
Mmeshampeleka Prince Ritz kupima??
Imani yetu imani yako ? na hiyo imani imekuja baada ya M/kiti wako kuwa kona na ngada ? acha ujinga mwambie akapimwe tu hamna namna kama mtumiaji tutamsaidia kumpeleka Sober.
 
na kesho tunapeleka vipimo vya KUB, TUPATE MAJIBU YA HARAKA KUTOKA KWA MKEMIA MKUU WA SERIKALI.
 
Porojo za UKAWA science is a Science ikionesha kuwa Damu au Mkojo wa Mbowe una Heroine sidhani kama Mkemia mkuu wa Kenya atakua na kipimo kitakachopima tofauti.
unakumbuka ngano ya azam kipindincha chinga akiwa raisi, mkemia wetu alisema ngano imeisha muda wake na ikachimwa moto, azam hajakubali akaenda kwa ile kampuni iliyomuuzia ikadai tunataka majibu ya hiyo ngano mbovu wakati huku inaexpire mwaka flani, tukashindwa na tukaja mlipa malipo yake yote, so siasa ilitumika pale, fatilia
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?
Bavicha nawakubali sana. Mnajua kukitetea chama hata kwa ujinga.
Mbowe kakamatwa ninyi mmeamua kujitoa ufahamu na kudai kajipeleka.
Lakini ni ninyi mliokuwa mnaapa kwamba hatakwenda.

Sasa hivi mmeanza kutilia shaka ofisi ya mkemia mkuu,kisa mnajua m/kiti wa maisha wa Sacco's yenu ni mpigaji mzuri wa cha arusha
 
Nashindwa kufikiri kabisa maana imani imepotea mno! Kesi ya fisi kihifadhi mfupa kama exhibit
 
Order toka juu haimbatani na mtutu, ni maelekezo mafupi tu.
Hata maombi ya rafiki au rushwa yaweza kubadili matokeo kama mpimaji siyo mwadilifu.

Kuna wale waliotoa Maelezo kwa mtutu na kipigo
 
Mwaka huu BAVICHA hata rangi nyekundu mtabisha na kuiita njano.VIVA JPM.
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?

..hata mimi nina wasiwasi na credibility ya mkemia mkuu wa SERIKALI/CCM.

..sina uhakika sheria inasemaje kuhusu kuchukuliwa vipimo vya matumizi ya dawa za kulevya.

..binafsi nisingekubali kupimwa na mkemia mkuu wa SERIKALI/CCM.

..ningeomba vipimo vipelekwe kwa mkemia ambaye ni NEUTRAL, asiye na mahusiano na SERIKALI/CCM.

..pia ni muhimu kuhakikisha kwamba hakuna ujanja-ujanja ktk kuchukua vipimo ili kusiwe na contamination yoyote ktk vipimo.

..pia wanaweza hata kukuchoma SUMU wakati wanachukua vipimo. hivyo kunatakiwa uangalifu wa hali ya juu.

..kwa kifupi ktk suala kama hili watuhumiwa wanapaswa kwenda na MADAKTARI WAO.
 
Hii ndio hali halisi , siasa za ccm hii si za kuamini hata kama huna macho .
 
Bavicha nawakubali sana. Mnajua kukitetea chama hata kwa ujinga.
Mbowe kakamatwa ninyi mmeamua kujitoa ufahamu na kudai kajipeleka.
Lakini ni ninyi mliokuwa mnaapa kwamba hatakwenda.

Sasa hivi mmeanza kutilia shaka ofisi ya mkemia mkuu,kisa mnajua m/kiti wa maisha wa Sacco's yenu ni mpigaji mzuri wa cha arusha
Habari hii haina uhusiano wowote na kuhojiwa Mh Mbowe , ililetwa muda mrefu sana kabla ya hiyo sinema ya polisi .
 
Heroin iliyotumiwa masaa 24 kabla haiwezi kusoma kwenye vipimo.inatakiwa uwe umekula within a day.sasa kama mtumiaji toka aanze kusakwa hawezi kuwa mjinga kuendelea kuramba
 
Back
Top Bottom