Kwa ilivyo hali ya kisiasa Tanzania , je ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali inaweza kuaminika?

Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?

Inategemea,kama wameamua kuwa wnasiasa wanakuwa tu,kama wanaamua kuwa na taaluma wanakuwa pia.Wakitoa vipimo vya uongo akija kushtaki hata kuwa na la kujitetea
 
navyosikia watu wanaotumia dawa za kutuliza maumivu ukipimwa utakuta vimelea vya dawa za kulevya

Kuna dawa za maumivu zinalevya ndio,na kama mtu atazi'abuse nae itahesabika ni mtumiaji wa dawa za kulevya.
NB: Mkemia mkuu atajua tu ni kilevi cha aina gani kimetumika kwahiyo hakuna wasiwasi hapo.
 
Wala sijakataa lakini je anaaminika ?
 
navyosikia watu wanaotumia dawa za kutuliza maumivu ukipimwa utakuta vimelea vya dawa za kulevya
Wakimataifa kila kilevi au dawa ina "chemical properties" zake.
Uchambuzi ukifanyika zitajulikana ni nini na za lini.
Kwa hiyo hapo hakuna shaka ukitumia chemical properties.
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?
Kama huamini kila mtu...mbona unatamani tukuamini? Mwovu huishi kwa hofu sana.
 
Wakuu natanguliza salamu.

JF ndio sehemu pekee wanapokutana wale wanaofikiria "NJE YA BOX" Sasa naomba kufahamu imani yenu kwa Taasisi hii ambayo inatumika kubaini wanaotumia Madawa ya kulevya .

Je haiwezi kupokea " MAAGIZO KUTOKA JUU " ?
wakawa sasa wamegeuka na kuwa watetezi wa wahalifu.. sasa wameenda mbali hata kuzarau professional za watu walioko sector nyeti kama mkemia mkuu.. prof wangu manyele hajawahi kuwa mtu wa namna hiyo. na kama waliopimwa hawajaridhika wanaweza kukata rufaa na kwenda kupima lab nyingine, kwa usimamizi wa serikali na mtuhumiwa.
 
Back
Top Bottom