Kwa huu mshahara, take home ni shingapi?

Ingia kwenye website ya TRA angalia utakatwa PAYE ya kiasi Gani

Kwa hicho kiasi ulichoandika cha 1.58M unaweza kuwa na Makato almost 40% ama zaidi

Mathalani, utakatwa pia Bima ya Afya pamoja na hiyo Bodi ya Mikopo bila kusahau NSSF ya 10% hivi

Roughly unaweza kurudi home na shilingi 930,000 hivi
 
Sawa, ila wakuu mbona shida sana hiyo ....au nyie mshazoea? Yani uliowe 1.5 upokee laki9? Zingine zote znaenda serikalin!!!
232,350/= loan board avg.15% of BS.
154,900/= NSSF 10% of BS.
+246,230/= PAYE: after BS - NSSF .
633,480/= Makato kwa ujumla


Pesa mkononi/benki:
1,549,000/= - 633,480/= = 915, 520/=

Take home avg: 915, 520/=
Kama hakuna nyongeza ya malupulupu mengine au makato ya chama cha wafanyakazi au mambo yahusuyo misiba.

NB: BS.=Basic salary
 
Sawa, ila wakuu mbona shida sana hiyo ....au nyie mshazoea? Yani uliowe 1.5 upokee laki9? Zingine zote znaenda serikalin!!!
Wakati ukiwa Chuo una pewa hela za HELSB bodi ya mikopo.... Ulidhani ule ni nchango wa harusi wanakupa!? Ama zile hela zilikuwa zinatoka mfukoni mwa babayako!?

Zile ni hela za watu!... Ulizotumia kupata elimu... Sasa elimu unayo... Itumie hiyo elimu kwa Ajira iliyokupa , kurudisha pesa hizo!... Isikuume!
 
Back
Top Bottom