Mimi ni mwalimu, huu ni mwezi wa nane mshahara hauingii na nipo kituoni

CAMANGA

Member
May 14, 2023
53
259
Muda mwingine nakaa na kufikiria sana lakini najikaza kiume

Yaani Iko hivi, hapo katikati nilipataga shida ya kiafya hivyo mshahara ulistopishwa kwa sababu ugonjwa niliupata nikiwa likizo hivyo sikuwa na ruhusa ya barua ofisini kuwa naumwa hivyo nikatuhumiwa kwa utoro kazini na mshahara ukasimamishwa.

Lakini kwa neema ya Mungu nikarejeshwa kazini na barua ya maamuzi nikapewa lakini tangu nimepewa barua na kurudi kazini ni miezi almost 8 Sasa bila mshahara nimejaribu kufuatilia TSC na kwa maafisa utumishi lakini nao imekuwa Kila mwezi wananishangaa kuwa hawajui kwanini licha ya kuwa taarifa zinatumwa Kila mwezi.

Hivi kwa wazoefu hapa natokaje maana Hali ni Tete madeni nimekopa Kila Kona Hadi wa kuwakopa wameisha na ukizingatia nina familia ya mtoto mchanga.

Hali ni Tete wakuu

Pia soma: MREJESHO: Mimi ni mwalimu huu ni mwezi wa nane mshahara hauingii na nipo kituoni
 
Muda mwingine nakaa nakufikiria sana lakini najikaza kiume

Yaani Iko hivi , hapo katikati nilipataga shida ya kiafya hivyo mshahara ulistopishwa kwa sababu ugonjwa niliupata nikiwa likizo hivyo sikuwa na ruhusa ya barua ofisini kuwa naumwa ,hivyo nikatuhumiwa kwa utoro kazini na mshahara ukasimamishwa . Lakini kwa neema ya Mungu nikarejeshwa kazini na barua ya maamuzi nikapewa lakini tangu nimepewa barua na kurudi kazini ni miezi almost 8 Sasa bila mshahara nimejaribu kufuatilia TSC na kwa maafisa utumishi lakini nao imekuwa Kila mwezi wananishangaa kuwa hawajui kwanini licha ya kuwa taarifa zinatumwa Kila mwezi

Hivi kwa wazoefu hapa natokaje maana Hali ni Tete madeni nimekopa Kila Kona Hadi wa kuwakopa wameisha na ukizingatia Nina familia ya mtoto mchanga

Hali ni Tete wakuu
Jihesabu huna kazi
 
Hujakamilisha taratibu Kwa Utumishi, muone kabla ya tarehe Tisa June.
 
Pole sana. I wish ungewaachia tu hiyo kazi yao, na kwenda kufanya mishe nyingine. Ila ndiyo hivyo tena!

Unaonekana hujajipanga! Lakini pia unaishi kwa kuutegemea huo mshahara kwa 100%.
 
Kwa huo muda ningekuwa nishatemana na hio kazi.

Ukizingatia ya kwamba kituo chenyewe Cha kazi Kiko bush wachawi kibao, hakuna umeme, barabara mbovu.

Utakuwa mwalimu wa cerificate tu ungekuwa umesomasoma usingebabaishwa na hio kazi.

Binadamu hatoishi kwa mkate tu.....yawezekana pia ni waking up call kwmba utoke huko utajiri wako uko mahali kwengine ila wewe umekaza fuvu unakomaa na hio kazi na madeni juu Iko siku utamlaza kiumbe wa Mungu njaa kwa uzembe wa baba yake.
 
Muda mwingine nakaa nakufikiria sana lakini najikaza kiume

Yaani Iko hivi , hapo katikati nilipataga shida ya kiafya hivyo mshahara ulistopishwa kwa sababu ugonjwa niliupata nikiwa likizo hivyo sikuwa na ruhusa ya barua ofisini kuwa naumwa ,hivyo nikatuhumiwa kwa utoro kazini na mshahara ukasimamishwa . Lakini kwa neema ya Mungu nikarejeshwa kazini na barua ya maamuzi nikapewa lakini tangu nimepewa barua na kurudi kazini ni miezi almost 8 Sasa bila mshahara nimejaribu kufuatilia TSC na kwa maafisa utumishi lakini nao imekuwa Kila mwezi wananishangaa kuwa hawajui kwanini licha ya kuwa taarifa zinatumwa Kila mwezi

Hivi kwa wazoefu hapa natokaje maana Hali ni Tete madeni nimekopa Kila Kona Hadi wa kuwakopa wameisha na ukizingatia Nina familia ya mtoto mchanga

Hali ni Tete wakuu
POle mkuu
 
Pole sana. I wish ungewaachia tu hiyo kazi yao, na kwenda kufanya mishe nyingine. Ila ndiyo hivyo tena!

Unaonekana hujajipanga! Lakini pia unaishi kwa kuutegemea huo mshahara kwa 100%.
Brother Tate mkuu replies zako zinanifunza mengi na kuniacha na maswali mazito. Wewe hutegemei mshahara pekee? Naomba unikeribishe PM yako siku moja brother, please!
 
Back
Top Bottom