Kwa huu mshahara, take home ni shingapi?

Sawa, ila wakuu mbona shida sana hiyo ....au nyie mshazoea? Yani uliowe 1.5 upokee laki9? Zingine zote znaenda serikalin!!!
Wakati ukiwa Chuo una pewa hela za HELSB bodi ya mikopo.... Ulidhani ule ni nchango wa harusi wanakupa!? Ama zile hela zilikuwa zinatoka mfukoni mwa babayako!?

Zile ni hela za watu!... Ulizotumia kupata elimu... Sasa elimu unayo... Itumie hiyo elimu kwa Ajira iliyokupa , kurudisha pesa hizo!... Isikuume!
 
232,350/= loan board avg.15% of BS.
154,900/= NSSF 10% of BS.
+246,230/= PAYE: after BS - NSSF .
633,480/= Makato kwa ujumla


Pesa mkononi/benki:
1,549,000/= - 633,480/= = 915, 520/=

Take home avg: 915, 520/=
Kama hakuna nyongeza ya malupulupu mengine au makato ya chama cha wafanyakazi au mambo yahusuyo misiba.

NB: BS.=Basic sarary
Uko sahihi ila kama wana bima NHIF atakatwa 3% of BS..take home itapungua kidogo.
 
Hello wajuvi nimepewa offer huko private sector naomba mnisaidie calculation ya takehome kwa huu mshahara.
1,549,000/=

Nadaiwa Heslb
Sijui elimu yako imekukomboa kifikra au bado! Kuna statutory deduction ya PAYEE! Kuna mifuko ya hifadhi ya jamii (5, au 10%) baasi ambavyo uanaweza ukatafuta ukapata bila kusumbua watu! Kama ulisoma kwa mkopo wa serikali punguza 15%.
 
Wakati ukiwa Chuo una pewa hela za HELSB bodi ya mikopo.... Ulidhani ule ni nchango wa harusi wanakupa!? Ama zile hela zilikuwa zinatoka mfukoni mwa babayako!?

Zile ni hela za watu!... Ulizotumia kupata elimu... Sasa elimu unayo... Itumia hiyo elimu kwa Ajira iliyokupa , kurudisha pesa hizo!... Isikuume!
Jumla ya deni ni kama 5M...inaweza chukua mda gani kulimaliza?
 
Eh kumbe natakiwa na maendeleo mengi aisee naona wengi mmesema hio hela ni nyingi
Mimi Take home inazidi hapo ila tarehe 18 tu Sina kitu
Pombe inanimaliza
Jaribu kupunguza pombe inawezekana. Au uwe unanywea kwa mangi kule hutumii hela nyingi, ukienda na 20,000 asubuhi unaiona na chenji yako.
 
Back
Top Bottom