The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 666
- 1,416
Hello wajuvi nimepewa offer huko private sector naomba mnisaidie calculation ya takehome kwa huu mshahara: 582,000/=.
Nadaiwa HESLB.
Nadaiwa HESLB.
No, naitwa the dumb ProfessorUnaitwa@dumbplopesa?
Ndo nmemalza form 4, matokeo yametoka Jana leo nmepata kaziNdio kazi yako ya kwanza?
Huna salary slip ya mwanzo ikusaidie kukupa mwongozo?
Au ndio ile tabia ya kila kitu lazima uulize mtandaoni?
Hongera kwa kupata kazi..
Kama unataka na mke sema wako kibao humu hasa single mothers..
Sahihi, Fuata ushauri wa Grahams.No, naitwa the dumb Professor
Ndogo? Nyingi utazipata ukianza kuokota makopo.Dah mbn ndogo ivi
Sawa, ila wakuu mbona shida sana hiyo ....au nyie mshazoea? Yani uliowe 1.5 upokee laki9? Zingine zote znaenda serikalin!!!Sahihi.Fuata ushauri wa Grahams.
Ndogo ukilinganisha na grossNdogo?Nyingi utazipata ukianza kuokota makopo.
Umejieleza hadi unadaiwa mkopo wa chuo.Ulitegemea upate ngapi?Halafu unapata na fursa ya mkopo mzuri baada ya kuwa "confirmed " kiajira.Ndogo ukilinganisha na gross
Naweza kopa adi shngap kwa huo mshahara?Umejieleza hadi unadaiwa mkopo wa chuo.Ulitegemea upate ngapi?Halafu unapata na fursa ya mkopo mzuri baada ya kuwa "confirmed " kiajira.
Around 800k hivi.Hello wajuvi nimepewa offer huko private sector naomba mnisaidie calculation ya takehome kwa huu mshahara.
1549000/=
Nadaiwa heslb
Mara kumi na nane yake.Piga hesabu.Naweza kopa adi shngap kwa huo mshahara?
Lengo lako ni kutuonesha kuwa umepata kazi yenye mshahara mnono wa shs. 1,549,000/=, hongera boss.Hello wajuvi nimepewa offer huko private sector naomba mnisaidie calculation ya takehome kwa huu mshahara.
1549000/=
Nadaiwa heslb
232,350/= loan board avg.15% of BS.Sawa, ila wakuu mbona shida sana hiyo ....au nyie mshazoea? Yani uliowe 1.5 upokee laki9? Zingine zote znaenda serikalin!!!
Tanganyika/Tanzania barawhich cantry is this?