Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,378
Tena accounts zao zipewe jina kwa msaada huduma na matumizi yake say...majanga ya radi xyz area-ujenzi wa nyumba za raia. ....au majanga ya upepo pqr area- chakula kwa waathirika.Hivi kwanini huwa tunatoa rambirambi kwenye misiba!
kuna jinsi yeyote rambirambi inaweza kumrejesha aliyekufa?
je, inafaida gani kwa mfiwa hata akiwa tajiri, fukara huwa tunachanga tu! au ni kujipendekeza?
Anza kujiuliza maswali ya msingi kabla hujaandika!
Hakuna ukweli wowote ktk hili!
endapo serikali ilipokutwa na maafa imeomba misaada kwa watu binafsi na taasisi, iweje leo iwakataze watu wasiombe misaada!
ofisi ya waziri mkuu ilikataza watu wasichangie kwa account yeyote Zaidi ya namba zitakazotolewa na ofisi yake, kwanini basi wasingeruhusu wananchi wajitengezee wenyewe account zao za maafa labda wangeweza kuhamasisha misaada ya kuwatosha!
initially ilikuwa kama jukumu lote lipo kwa serikali, lkn kumbe wao walikuwa wanakusanya zao tu, Mungu aepushe mbali, lkn maafa mengine kama yatatokea inaweza kuwafanya wananchi wakatengeneza accounts zao za misaada!
kisha tuisubiri serikali ije kujenga shule na hospital kwa hela zake