Kwa hili wanaume huwa siwaelewi

Kwa hili wanaume huwa siwaelewi

Iliniitwe mwanaume lazima niwe na uume uliotimamu so lazima kila saa nikague upo? Ndo nianze kuongeza. Huwezi kununua cement huna kiwanja bibie umeelewa cleopatra bby wangu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Hili ni swali kwenu wanaume; Ni kwann huwa mnapenda kushika kwenye dushe lenu Mara kwa Mara hata mbele za watu?

Huwa hamuoni aibu?
Hii hufanywa na wanaume walio wengi

Naomba nipatiwe majibu please.
Ni sawa na nyie wanawake mnaporekebisha sidiria zenu (hasa kama umevaa sidiria aina ya "mama nieleke". Kama unazijua sidiria za "mama nieleke" basi wewe ni mhenga).
 
Dushe ndo heshima huwa tunahofia kuibiwa tu

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Hata nyie mnashikaga yenu mkiwa vifichoni, tofauti ni kwamba wanaume ni majasili wanaweza shika wakiwa kokote. Ni kuweka mambo sawa ukijihisi kuna tatizo la mkao huko ndani

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Hili ni swali kwenu wanaume; Ni kwann huwa mnapenda kushika kwenye dushe lenu Mara kwa Mara hata mbele za watu?

Huwa hamuoni aibu?
Hii hufanywa na wanaume walio wengi

Naomba nipatiwe majibu please.
Swali litajibiwa kwa sawa na swali hili kwa nini wanawake wazazi wengi hupenda kunyonyesha hadharani pasipo kujistiri ?
Je hawaoni aibu ?[emoji4] [emoji4]
(Jibu linalotokea ktk swali la kizushi)

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hili ni swali kwenu wanaume; Ni kwann huwa mnapenda kushika kwenye dushe lenu Mara kwa Mara hata mbele za watu?

Huwa hamuoni aibu?
Hii hufanywa na wanaume walio wengi

Naomba nipatiwe majibu please.
Huwa tunakagua Mali unaweza kuta imeibiwa au haipo... So nikawaida yetu hasa tunaoitumikia papuchi ipasavyo
 
Mkuyenge lazima uwekwe sawa coz hua unanyenyuka hovyo unapoona makinikia sasa unautuliza mahala pake
 
Aseee umewaza mbali hayo ndo mawazo ya wahenga

Post sent using JamiiForums mobile app
 
UNALIWEKA SAWA ILI ISIJE IKAWA AIBU ZAIDI YA HIYO UONAYO WEWE
 
Back
Top Bottom