Kwa hili wanaume huwa siwaelewi

Kwa hili wanaume huwa siwaelewi

Picha ya ushahidi

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
mimi nikiona mdada mzuri lazima nitengenezee dushe huwa linawasha flan upande wa kushoto
 
Wapo wanaoshika ili kuliweka sawa maana sometimes unakuta limekaa vibaya ndani ya boxer, japo wengi hurekebishia kupitia mifiko ya sufuali.... Ila wapo ambao hata mi huwa wananikera ni wale unakuta kaingiza tu mkono ikulu halafu huku anaendelea na mishe nyingine, hii huwa inakera hata kuona, ni ujinga na utoto, tena unakuta ni mbele za watu mtu mkono nusu saa nzima uko eneo la tukio sijui anakuwa anafanya nini na huo mkono

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni moja kati ya tabia mbaya sana.
Yaani nisawa na kuchokonoa pua mbele za watu, au kukohoa mbele za watu na kisha kulimeza banja
 
Hili ni swali kwenu wanaume; Ni kwann huwa mnapenda kushika kwenye dushe lenu Mara kwa Mara hata mbele za watu?

Huwa hamuoni aibu?
Hii hufanywa na wanaume walio wengi

Naomba nipatiwe majibu please.
Sio kweli hii

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Hili ni swali kwenu wanaume; Ni kwann huwa mnapenda kushika kwenye dushe lenu Mara kwa Mara hata mbele za watu?

Huwa hamuoni aibu?
Hii hufanywa na wanaume walio wengi

Naomba nipatiwe majibu please.


Ehee Umenikumbusha jambo,mbona na wanawake wanajipapasa papasa makalioni nao ni vipi?
 
Hili ni swali kwenu wanaume; Ni kwann huwa mnapenda kushika kwenye dushe lenu Mara kwa Mara hata mbele za watu?

Huwa hamuoni aibu?
Hii hufanywa na wanaume walio wengi

Naomba nipatiwe majibu please.

Ivi ulipata yule Mume?
 
Hahahahaha hahahahaha hahahahaha nimifumo ya kimaumbile ya kiume ila kuna muda mwingine inatokea umevaa boxer inayobana unajtaidi kuiweka sawa ila ni mifumo tuliyoumbwa nayo hata nyinyi naamini kuna mifumo haiwezi kuisha siku pasipo kuiweka sawa au kuigusa tu
 
mbn tunajishika maeneo mbali mbali tu, kidevu, kichwan... ww acha hayo mawazo. unaangalia sehem moja tu.
 
Kuna mambo kwa wanaume ni excusable. Utajifanya huoni uangalie pembeni.

Ila jaribu wewe kama mwanamke.
 
hata ukijua itakusaidia nini?

Sent from my W5 using JamiiForums mobile app
 
Itakua Umepost baada ya kumuona Bashite kajishika
MAJIBU
1.kama unawashwa
2.kutafuta Comfitability
3.Gain confidence
4.sometimes ni Mbwembwe tu
 
Back
Top Bottom