Kwa hili wanaume huwa siwaelewi

Kwa hili wanaume huwa siwaelewi

Sisi huwa ni wasahaulifu sana kufunga zipu, kwaiyo lazima tukague kama zipu imefungwa au la. Sababu nyingine nifate pm.
 
Hili ni swali kwenu wanaume; Ni kwann huwa mnapenda kushika kwenye dushe lenu Mara kwa Mara hata mbele za watu?

Huwa hamuoni aibu?
Hii hufanywa na wanaume walio wengi

Naomba nipatiwe majibu please.

Umefanya vizuri kusema wengi. Sio wote tunafanya hivyo.

Hayoni mabaki ya unyaninyani katika evolution.

Katika subconcious mind mwanamme anayefanya hivyo anaalika wanawake waliokaribu awapigishe show na kuwazalisha watoto.

Ni involuntary action kamakupiga chafya, usiwalaumu sana.

Ukiona wanafanya hivyo ujue wana mabaki ya ubongo wa kinyaninyani,inawezekana pia show wanaiweza sana kinyaninyani.
 
Wanavaa nguo za ndan znazowabana... Ambayo wameambiwa inachangia upungufu wa nguvu za kiume hawackii... Vaen mapens makubwa

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Huwa tunaliweka sawa si unajua halina macho lakin linauwezo mkubwa kuliko hata kichwa chenye ubongo
 
Haaa haaa Haaa haaa teeeh teeeh. Pole mkuu, ila nyoka wa makengeza akiingiwa na hali ya kuta Vijisenti bila kumrudisha kwenye getho lake anaweza akaleta mbindembinde mitaani.


hahahahah!
 
Hili ni swali kwenu wanaume; Ni kwann huwa mnapenda kushika kwenye dushe lenu Mara kwa Mara hata mbele za watu?

Huwa hamuoni aibu?
Hii hufanywa na wanaume walio wengi

Naomba nipatiwe majibu please.
Mind your own business bitch!!![emoji57] [emoji57] [emoji57]

Sent from my Apple iPhone 7 plus using Jamiiforums mobile app.
 
Hili ni swali kwenu wanaume; Ni kwann huwa mnapenda kushika kwenye dushe lenu Mara kwa Mara hata mbele za watu?

Huwa hamuoni aibu?
Hii hufanywa na wanaume walio wengi

Naomba nipatiwe majibu please.
Ni sawa tu na nyie mnavyojipaka mawanja na ma makeup yenu hadharani...

Nyie mnajisifia urembo sisi tunajisifia mashine...
 
Dude linakuwa linaweka unyoka wa kimakengeza Kwa hiyo, inabidi uliweke vizuri ili lisije likachukua vijisenti maana tayari linakuwa na makengeza.

Haaa haaa Haaa teeeh teeeh teeeh, Natambua kuwa Wahenga watanielewa.
Hahahaha kweli mkuu
 
Back
Top Bottom