Kwa hili wanaume huwa siwaelewi

Kwa hili wanaume huwa siwaelewi

Msomi ulishapata mume?

Post sent using JamiiForums mobile app

Jirani huyu alitaka kumfunga yule mchumba wake kwa kosa gani(nimelisahau)

leo nashangaa anayachungulia ma dushe yetu ina maana ya mchumba ni kibamia kama changu au unataka kubadilisha miiko
 
....Na nyinyi mnaopenda kuvaa vinguo vifupi a.k.a Vimini kwa nini huwa mnapenda kuvivuta chini wakati ni vifupi na mmeamua kuvivaa wenyewe??
 
Hii inaitwa "abiria chunga mzigo wako", kila muda inabidi ulikague uone kama lipo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hao unaowaongelea ni wavulana ambao wapo kwenye balehe au hawajavukisha miaka 23 ila kwa wanaume hatuna huo upuuzi.
 
Wenye tabia hiyo...ujue fungus wanawasumbua!muwasho!nguo alizovaa utadhani anatembea na sanduku...boxa ambayo haijagusa maji wiki2,kipensi cha jinsi...tight. .suruali chafu
 
Mbona nyie mnapenda kuweka pesa kwa maembe yenu + kunyonyesha watoto mbele za watu, ko kama mtu dudu linamuwasha asijikune kisa?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ua atujui ata kama tumeshika bwahahahahahaha shabashiii

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Tunalitafutia settings kama dishi

Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: cai
Hili swali nilishawahi kumuuliza mwanaume niliyemkuta kajishika maeneo hayo....
Hapa duniani hamna kitu kina sensitivity kama kichwa cha mtarimbo...

Kwahyo ni raha sana kuligusa na kulilinda
Lijimhogo

[emoji4] [emoji4]

Post sent by Lmntrix
 
Hili ni swali kwenu wanaume; Ni kwann huwa mnapenda kushika kwenye dushe lenu Mara kwa Mara hata mbele za watu?

Huwa hamuoni aibu?
Hii hufanywa na wanaume walio wengi

Naomba nipatiwe majibu please.


Kumradhi tafadhali....si kila mwanamme anafanya hivi.....wengi ya wafanyao hivi ni wanaume tata wa Dar. Wanajishika dushe makusudi kudanganya wanawake kuwa na wao (wanaume tata) wana dushe ili mwanamke ajiridhishe kuwa anazungumza na mwanamme. Wanaume wa Dar ni vigarasa tu.
 
Nawewe kwanini unapenda kuangalia maeneo hayo? Hivi unashindwa kitutazama hata kichwani mpaka kifuani tu?

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa badala ya kuchangia uzi imebidi nicheke tu. Hicho kitendo huja tu bila kutarajia. Haupangi, huja tu. Ni kama mzee wetu Mstaafu J. Kikwete alivyokuwa anakuna kichwa. Si kwa kutaka. It catches a man without his awareness!

Sent from my Siemens c35 dole-gumba using JamiiForums app.
 
Kma lipi uliliona limeshikwa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom