CHE Raptino
JF-Expert Member
- Mar 11, 2017
- 1,027
- 1,068
Hiyo ni hali ya mazoea au dushe linakaa vibaya sometimes hivyo ni harakati za kuliweka vizuri
Post sent using JamiiForums mobile app
Post sent using JamiiForums mobile app
Nimekumiss muhenga mwenzangu😉Hunitendei haki muhenga mwenzangu ujue
Muhenga mwenzangu nilikukosea?Nimekumiss muhenga mwenzangu😉
Hili ni swali kwenu wanaume; Ni kwann huwa mnapenda kushika kwenye dushe lenu Mara kwa Mara hata mbele za watu?
Huwa hamuoni aibu?
Hii hufanywa na wanaume walio wengi
Naomba nipatiwe majibu please.
Hili swali nilishawahi kumuuliza mwanaume niliyemkuta kajishika maeneo hayo....
Wanawake bwana badala muulize maswali ambayo yanasumbua wengi mnauliza swali rahisi hivi..Hili ni swali kwenu wanaume; Ni kwann huwa mnapenda kushika kwenye dushe lenu Mara kwa Mara hata mbele za watu?
Huwa hamuoni aibu?
Hii hufanywa na wanaume walio wengi
Naomba nipatiwe majibu please.