Alikuja mke wa Bush Zanzibar, basi mawasiliano ya simu yakawa yanapotea, njia zilifungwa watu wasipite. Sometimes unaweza kuona kwanini waliweza kututawala kirahisi
Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake?
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Hilo taifa lipo busy na mambo ya msingi, Uhuru alipoenda alionana na Biden direct, yaani uende kufanya maigizo uonane na Rais wa Marekani au unaota?Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake?
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Hiyo aliweza Uhuru Kenyatta peke yake maana naye yupo serious sn na mambo ya msingiwee unafikiri rais makini kama Biden anaweza kukutana na raisi kutoka nchi ya kiafrika isiyo heshim uhuru wa kujieleza, demokrasia na haki za binadamu, na yenye kuendekeza ufisadi? wenzentu huwa wanaangalia hivi vitu kwa mapana zaidi
Kwa hiyo Rais yupo likizo nchini Marekani? Majibu yako ya swali hili ni muhimu sana, tafadhali tupatie.Hiyo sio ziara rasmi
Huu ujuha huwa mnautoa wapi? Rais hajaenda USA kuonana na Biden na infact alialikwa na Kamala ..Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake?
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Wa kwetu hata Ikulu ama ofisi ya Biden, sidhani kama ameishakanyaga. Hili ndilo linatukera kwa Marekani kutuchukulia kirahisi hivyo. Kama amekangaya, basi naomba msamaha kwa Wamarekani kwa hilo.hupata wageni wengi sana kwa wiki moja wanaweza kuingia Marekani Marais 50
Inawezekana kabisaKwa mfano Bideni akija Tanzania kupumzika Serengeti ana weza hasikutane na Mama Samia ?
Hivi ile ya Bill Clinton pale vingunguti ilikuwa ni state visit.Unaelewa maana ya ziara rasmi?
Bill Clinton pale vingunguti ilikuwa state visit.Nimetetea nini? Jifunze kwanza kuhusu ziara za rais wa nchi kwenda nchi nyingine utaratibu wa kupokelewa na mwenyeji wake upoje?
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Tatizo lenu mnalinganisha ukuu wa America na Tanzania. Chato haiwez linganishwa na DAR!! Biden akienda popote lazima mkuu wa NCHI husika awepo no way, but kwa vinchi vichanga kama sisi is not necessary!!
We unajua viongoz wetu hawa wajui wazungu jinsi walivyo Sisi watu wa hari ya chini ndiyo tunazijua tabia za wazungu, wachina waarabu na wa Hindi kwasababu tunaishi nao kwa ukaribu Sanaa kwaiyo tunawajua tabia zao na jinsi wanavyo tuwaza akilini mwao na wanavyo tuchukulia wa Africa. Sasa hawa viongoz wetu hawa wajui watu weupe kiundani kwasababu hawaja wai kufanya nao kazi ujanani mwao wala kuishi nao mfano Mwinguru, Mama Samia kaanza kuwanao karibu wazungu ukubwani tena kazini tofauti masikin ambaye kaajiriwa na mzungu kama housegirl, shamba boy, mlinzi kwaiyo vijana kama awa lazima watakuwa wanajua tabia zao mfano wanaofanya kaz na wachina wanawajua wachina tabia zao za wizi tena wa vitu vidogo tena wachina wana njaa Sana Sasa mama Samia akienda China akiona magorofa anajua wachina Wana Manisha mazur siyo wezi watamsaidia nchi ipige atua kitu ambacho hakipo na hakita kuwepo, kwaiyo mkuu nakwambia watu weupe Wana tudharau Sana watu weusi Wana amini hatujui chochote na hawasikilizi ushauri wowote ule ukitaka ujue we kafanye nao kazi ambayo itakufanya uwepo nao masaa mengi au kafanye kazi kwenye familia zao ata Choo cha familia hurusiiwi kutumia .Acha uongo leta ushahidi kama wametudharau
Mkuu nakusukuru umefafanua vizuri sana.We unajua viongoz wetu hawa wajui wazungu jinsi walivyo Sisi watu wa hari ya chini ndiyo tunazijua tabia za wazungu, wachina waarabu na wa Hindi kwasababu tunaishi nao kwa ukaribu Sanaa kwaiyo tunawajua tabia zao na jinsi wanavyo tuwaza akilini mwao na wanavyo tuchukulia wa Africa. Sasa hawa viongoz wetu hawa wajui watu weupe kiundani kwasababu hawaja wai kufanya nao kazi ujanani mwao wala kuishi nao mfano Mwinguru, Mama Samia kaanza kuwanao karibu wazungu ukubwani tena kazini tofauti masikin ambaye kaajiriwa na mzungu kama housegirl, shamba boy, mlinzi kwaiyo vijana kama awa lazima watakuwa wanajua tabia zao mfano wanaofanya kaz na wachina wanawajua wachina tabia zao za wizi tena wa vitu vidogo tena wachina wana njaa Sana Sasa mama Samia akienda China akiona magorofa anajua wachina Wana Manisha mazur siyo wezi watamsaidia nchi ipige atua kitu ambacho hakipo na hakita kuwepo, kwaiyo mkuu nakwambia watu weupe Wana tudharau Sana watu weusi Wana amini hatujui chochote na hawasikilizi ushauri wowote ule ukitaka ujue we kafanye nao kazi ambayo itakufanya uwepo nao masaa mengi au kafanye kazi kwenye familia zao ata Choo cha familia hurusiiwi kutumia .
Yes mkuu upo right kwa hilo ila ulitakiwa upate more details, lini President Madiba alim divorce mama Namzamo?,hapo ndipo lipo jibu ya issue yakoAlikuwa bado hajawa Rais madiba wakati anatoa talaka ndio maana 1994 alipoapishwa alikuwa na mwanae mkubwa wa kike kama First Lady
Hivi Biden aache kuumiza kichwa kwa mambo muhimu ya kiusalama wa Marekani kipindi hiki kigumu cha mdololo wa uchumi na inflation arnde kuonana na mtu aliye busy kuzindua movie!!!!!!!!!!!😲😲😲. Tena ziara yenyewe ameambatana na Rostam rafk yake Kikwete.Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake?
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Wee mpumbavu nini magufuli kafanya niniNi hivyo sio? Rais wa nchi uingie kwenye nchi nyingine mwenyeji wako asikutambue?
Bado Kuna uchafu wa siasa za Magufuli alizozifanya haujaondolewa kwenye taswira ya nchi kimataifa
Nchi bado inanuka
Huwa dhambi inaondolewa kwa Toba haitoki yenyewe
Asanteni.