Kwa hili tukio polisi Mwanza wanapeleleza nini?

Kwa hili tukio polisi Mwanza wanapeleleza nini?

Ishu inajulikana kuwa kweli watuhumiwa waliteswa mpaka mmoja alifariki .kinachoshangaza wanasema wanafanya upelelezi.upelelezi gani wakati tukio limetokea ndani ya ofisi ya kata? Mtendaji na mwenyekiti walikuwepo

Mkuu ,Haki haiji kwenye kisahani.Hao Wahuni wamemuua Raia mwema kabisa na hakika wamevunja Sheria za Nchi kwa walicho kifanya ,cha Msingi na nyie lipizeni kwa namna yeyote ile mtakayo weza.Si wanazo Familia zao hao !?

Piga Kiberiti hata Nyumba zao , uonevu hauwezi kuisha kwa kuwa endekeza Wahalifu.Mwanajeshi gani huyo asie mstaarabu anaua Raia asie na mafunzo wala namna ya kujitetea !?
 
Msemaji Wa Police Tanzania, Alisema Usitufundishe Kazi
Sisi Ndiyo Tunaojua,😄😅😂😁

Hawana Weledi wa Kazi ,wao wanawaza kutumia Nguvu hata pasipo hitaji Nguvu.Jinga kabisa yule Mtu.
 
Mkuu ,Haki haiji kwenye kisahani.Hao Wahuni wamemuua Raia mwema kabisa na hakika wamevunja Sheria za Nchi kwa walicho kifanya ,cha Msingi na nyie lipizeni kwa namna yeyote ile mtakayo weza.Si wanazo Familia zao hao !?

Piga Kiberiti hata Nyumba zao , uonevu hauwezi kuisha kwa kuwa endekeza Wahalifu.Mwanajeshi gani huyo asie mstaarabu anaua Raia asie na mafunzo wala namna ya kujitetea !?
Umeongea kitu cha maana sana. Lita kumi za petrol tu nyumba inatangulia mbele za haki bila kujari watoto ama mke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kitu cha maana sana. Lita kumi za petrol tu nyumba inatangulia mbele za haki bila kujari watoto ama mke

Sent using Jamii Forums mobile app

Yani Askari anapo leta Msiba ktk Familia na yeye inabidi apelekewe Misiba ili nae aishi na kuonja Hali ile ,Maovu yao na uonevu wao ungepungua kwa kiasi kikubwa sana.Ona sasa Wauaji wanavyo lindwa !!·
 
Mkuu ,Haki haiji kwenye kisahani.Hao Wahuni wamemuua Raia mwema kabisa na hakika wamevunja Sheria za Nchi kwa walicho kifanya ,cha Msingi na nyie lipizeni kwa namna yeyote ile mtakayo weza.Si wanazo Familia zao hao !?

Piga Kiberiti hata Nyumba zao , uonevu hauwezi kuisha kwa kuwa endekeza Wahalifu.Mwanajeshi gani huyo asie mstaarabu anaua Raia asie na mafunzo wala namna ya kujitetea !?
Ngoja tufuate sheria
 
Na Mwenyekiti ilikuwaje akahusishwa na hayo mauaji?
Ilikuwa ni kwenye mkutano unaendelea...ni madogo tu hivi bangibangi wakawa wanapita pale...wakaanza kuporomosha matusi na lugha chafu....wananchi wakaona dharau kwao na kwa mwenye kiti...kipigo kikafuata...kuna baadhi walitumia silaha ndo hasa kilichofanya washkaji wakate moto.... Katika mazingira ka hayo ni lazima wakwanza kutiwa mbaroni awe mwenyekiti.... Mi sikuwepo eneo la tukio ila nilipata taarifa.... Nilikuja kuthibitisha siku za baadaye nilipokutana na wahuni wengi wamebeba mwili wa mwenzao wanaelekea maraloni....inaonekana hata wananchi wenyewe hawakujihusisha na mazishi coz walikuwa wahuni tupu.
 
Hao Wahalifu wao wametenda kosa gani? maana mimi hapa ndio huwa nabaki njia panda.

Mwezi uliopita Mwenzangu/jirani yangu alipata tatizo la kuvamiwa, walivyoruka geti kuvunja grili mpaka kuingia ndani mpaka sasa hivi hajui.

Mke wake amesafiri na Jamaa amebaki mwenyewe, sasa akawa anaweka godoro sebuleni ili asikilizie usalama huko nje, ingawa siku ya kufa Nyani miti yote huteleza...ametuamsha saa kumi kasoro jamaa wakiwa wameshakamilisha tukio...Jamaa alikuwa kama amechanganyikiwa kwani Mtoto wa Mama yule hakuwahi ku experience tukio kama hilo tangu amezaliwa.

Ni wiki inaenda ya tatu sasa tangu tukio Jamaa ameikimbia nyumba anaishi kwa Ndugu zake Mjini huko, anakuja mara moja moja anachekicheki anaishia...cha ajabu Gari ilikuwa hapo nje wala hawakuigusa.

Tulienda Polisi usiku ule,ilishafika saa kumi alfajiri kwenda kumi na moja hivi... yaani tuliona Polisi wanachukulia mambo kirahisi sana, hawakujali sanasana wakaanza kuturudishia lawama kwamba kwa nini tumeruka vituo vyote tukaenda mpaka central, pia wakasema kama hatujui vitu vyote vilivyoibiwa hawafungui ripoti..tuliondoka pale tumefura hasira tukaishia zetu maana Jamaa nae alikuwa harudi tena huku Mtaani anabaki mjini kwa ndugu zake....kwa hiyo suala la ripoti likawa limetoka hilo.

Kwa muda sasa kila mara nimekuwa najiuliza hivi ni Binaadamu wa aina gani hawa wanaosubiri Mwenzao afanye kazi yake halali, ajikusanyie mali zake na Mkewe wao waje waingie wachukue tu? maana Jamaa huwa anaondoka saa kumi na mbili na nusu alfajiri na kurudi saa moja jioni/mbili kasoro kila siku, na mara moja moja jpili pia huenda kazini.

Jamaa anatia huruma sana, alipunguzwa kazi mwaka jana mwishoni, baadae akapata kazi nyingine ila mshahara huku ni nusu ya aliokuwa anaupata awali...hivyo gharama zimemuelemea kodi ya nyumba na Mlinzi a.k.a Masai ikawa mzigo, baadae ilibidi Masai aondoke tu baada ya malipo yake kuwa yanasuasua.

Ukiongea na Wanazengo huku kitaa wanasema Polisi huwa wanapita pita patrol ila baadae wanakuwa chimbo mahali Kitaani wanachapa zao ulabu.

Yaani picha niliyopata pale Central ni kuwa hawa jamaa hawana msaada, yani wapo wapo tu wamekata tamaa ya kazi, hawana ushauri wowote...wana ku treat kama vile "umevamiwa..kwa hiyo sisi tufanyeje"

Hizi stunt za kwenye Runinga ndio wanaziweza, ila huku chini ni tia maji tia maji.

Nimejiuliza hivi kama tungefanikwa kuwaotea wale Wezi tukiwa na silaha tungewaacha hai kweli? au kama wangekamatwa baadae usiku ule na waliowakamata wakatuita na kutuuliza "hawa wapelekwe Polisi au tumalizane nao hapa hapa?" hivi tungejibu nini?

Juzi kuna redio moja walimuhoji Kamanda wa Polisi kutokana na matukio kadhaa yaliyojitokeza eneo moja huku Arusha, Mtangazaji alionyesha kutokuridhishwa na majibu yale, ofcoz yeye alisema 'Wasikilizaji hawajaridhika' lakini kivyangu vyangu huku nilipo nilijisemea hapo ndio amemaliza Mzee...business as usual.

Najua Polisi utetezi wao utakuwa wao wapo Wachache blah blah, lakini usalama wa raia bado ni jukumu lao la msingi, Polisi wajiongeze, waongeze ubunifu..kuna teknolojia sio lazima wawe wengi.

Hivi kwa nini moja ya masharti ya hawa Wenyeviti wa mitaa isiwe kuji commit kwamba watahakikisha Wakazi wao wanaishi kwa amani?

Hofu yangu hawa Wahalifu wakishakamatwa ni sisi tena tunaanza kuwatetea, kwa upande mmoja hatutaki kufanyiwa uhalifu lakini hatutaki Wahalifu waangamizwe kisa tu ni ndugu au Majirani zetu.
 
May Day,
Sijatetea mtu kufanya uhalifu.ndio maana nilikuambia mapema hii nchi inaendeshwa kwa sheria. Kama ukifuata sheria za kumkabili muarifu hamna tatizo.maaana hata waharifu wanaua na kujeruhi watu.Na kwa ujumla hatutaki nchi yetu iwe na waharifu.ila la msingi kumbuka tu nchi inasheria na hata mtuhumiwa ana haki zake.Criminal justice .Sasa mtu hata kama ni mwizi umemkamata umempeleka ofisi ya kata ndio umuue?. Ndio maana kuna polisi mahakama na magereza.Ila kama umevamiwa usiku na unayohaki ya kujilinda ila uitumime kisheria.Hawa walikamatwa na kupelekwa ofisi ya kata mchana kweupe.Ndio wateswe na kuuliwa kisa watuhumiwa? Kwa nini wasipelekwe polisi na kisha mahakamani? kwa ufupi hawakukamatwa wanaiba.ila kuna dalalali aliletewa milango ambayo inasadikiwa ni ya wizi.Tatizo lilianzia hapo.ilitakiwa polisi wafanye upelelezi ili kujua inatoka wapi.Sio kutesa na kuua watu.
 
Back
Top Bottom