Kwa hili, serikali yetu ndio inayosababisha walimu waonekane wanafanya kazi kwa mazoea.

MTABO

Member
Mar 6, 2014
97
125
Ni miezi mitatu imepita tangu serilikakali itoe ajira za walimu za mwaka 2017. Inasikitisha kuona serikali hii inayojiita ya kazi tu, na inayojitapa kukusanya matrioni kwa kila mwezi, ikishindwa kuwalipa pesa za kujikimu walimu elfu 3 tu iliyowaajiri. Sio hali ya kawaida kushindwa kuwapa pesa za kujikimu walimu elfu 3 tu, bali ni tendo la makusudi lenye lengo la kuwadhoofisha walimu wapya ktk utendaji wao kazi. Haya ndio matendo ya mazoea ya serikali yetu yanayosababisha walimu wenye njaa wafanye kazi chini ya kiwango.

Jana mheshimiwa Jafo akijibu swali la nyongeza bungeni kuhusu ni lini serikali itawapatia walimu wa ajira mpya 2017 pesa za kujikimu ili wapate moyo wa kujituma kazini; Jafo bila aibu kujifanya amesahau swali na hatimae kwa makusudi akagoma kabisa kujibu swali hilo. Kisha mheshimiwa mwenyekiti wa bunge akambeba Jafo na kusema kua aliyeuliza swali ameshaelewa. Sijui mwenyekiti wa bunge alimaanisha aliyeuliza swali ameshaelewa kua seriakli imegoma kutoa pesa, au kaelewa lipi...!

Katika kipindi hiki kigumu kwa walimu wapya, kuna wadudu watu halamshauri na wakuu wa shule, wanajitekenya eti wako wanatuangalia tabia zetu. Hua najiuliza, hivi hawa wadudu wana akili kweli? utapimaje ukakamavu wa mwanajeshi mwenye njaa kali? Wakiongea hayo madudu yao, hua natamani hata niwakate makofi.

Acheni walimu tufanye kazi kwa mazoea, kwani hata seriakali yetu inatutetendea haya kwa mazoea. Tunawajibika kwa kiwango kile amabcho serikali yetu anavyopenda tuwajibike, kwa maana kwamba haitaki tujitume. Kila mtu abebe msalaba wake, mwanafunzi akiacha kusoma twisheni huko mtaani kwao, mimi nasema 'feli'. Narudia tena, 'fe li'. Ni maneno mawili tu, yaani 'fe' na 'li'.
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,029
2,000
Sasa kama serikali imekukosea mwanafunzi kakosea nini. Fikiria nawe pia kuna wanao au nduguzo wanasoma.
walimu tafuteni mbinu mbadala wa kudai haki yenu sio kusababisha wanafunzi kufeli. Wanafunzi wakifeli sisi tunaona na nyie mmefeli katika kazi/taaluma yenu, na dharau ndio itakapozidi. Shauri yenu
 
acha porojo. mpeleke mwanao twisheni, laa sivyo akifeli ni hasara kwako. viongozi wa serikali walishagundua kua hawatapata hasara kama mwanao akifeli kwa kutofundishwa na mwalimu mwenye njaa iliyosababisha na serikali.
ww endelea kusubiri unidhaarau eti nimefelisha mwanao, badala ya kutafuta mbinu mwanao akafaulu. shauri yako.
 
mojave

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
5,542
2,000
walimu wa ajira mpya wote walishahakikiwa. walituma nakala za vyeti vyao wizara ya elimu, na wizara ya elimu kupitia NECTA wakatumia namba za vyeti hivyo kuhakiki kama ni halisi au cha gugushi. walimu wa ajira mpya wote ni salama. hakua feki wala hewa.
Wewe jamaa kumbe mgeni wa serikali ya magufuri.

Vigezo vya uhakiki wa july ni
1.kitambulisho cha NIDA
2.salary slip
3.ID ya kazi.

Sasa hapo kwenye ivo vigezo kuna alichokuwa nacho akakipeleka huko NECTA. Watu tumehakikiwa mara kibao wao ndo wataachwa. Waambie tu wajiandae wahakikiwe ndo serikali yetu haijui basic needs za mwajiriwa bali kutoa order kwa mwajiriwa.
 
nimekupata. bas waje watuhakiki tu ili tupate vitambulisho vya NIDA. tukipata vitambulisho vya NIDA, wasirudi tena kutusumbua sumbua.
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,029
2,000
acha porojo. mpeleke mwanao twisheni, laa sivyo akifeli ni hasara kwako. viongozi wa serikali walishagundua kua hawatapata hasara kama mwanao akifeli kwa kutofundishwa na mwalimu mwenye njaa iliyosababisha na serikali.
ww endelea kusubiri unidhaarau eti nimefelisha mwanao, badala ya kutafuta mbinu mwanao akafaulu. shauri yako.
Yaani nimpeleke mwanangu akafundishwe twisheni na mtu aliyeshindwa kufundisha darasani? hii haiwezekani. mimi nafuatilia sana maendeleo ya wanangu darasani, kama nikiona maendeleo yanashuka ni kuhamisha shule, si kuwaambia walimu walewale walioshindwa wamfundishe mwanangu. kwa kifupi walimu wanaofundisha wanangu nawaamini, hawana vinjaa njaa vya ajabu mara sijui mwanao anahitaji tuisheni sijui nini..
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,201
2,000
Kwa hiyo wewe ni mwalimu kwa ajiri ya kufundisha tuition au darasani ulipopangiwa na kulipwa mshara!?

Hiyo tuition umeisema inaelekea wazazi wamejua tabia zenu za kutowafundisha makusudi na kutaka waje after school ndio muwafundishe.

Sasa umeleta uzi mzuri ambao ma afisa el8mu wakiusoma atapata motisha wa kupambana nanyi na kuwasomesha namba. Kama unaona hamlipwi si muandike barua kunakohusika... kma hakyjibu lazima ni kwamba labda hakuwa bado na jibu na ikawa vyema kujipanga kwanza kuliko kushusha uongo.. ila angesema kitu tho.

Itakuwa vizuri wakuu wa mikoa yote wakifata alichokifanya Mh. Makonda, ambapo amewapa ukweli maafisa na options mbili TU.

Haufahi kuwa mwalimu mwrnye chuki hivi, kazo ya ualimu kwani ulilazimishwa!? Unatia aibu wenzako, jisikitikie kwa hao uliyoandika juu ya eti wanafunzi kufeli. Na ukamatwe ufukuzwe kwa kutofundisha.
 
mojave

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
5,542
2,000
nimekupata. bas waje watuhakiki tu ili tupate vitambulisho vya NIDA. tukipata vitambulisho vya NIDA, wasirudi tena kutusumbua sumbua.
Sidhani kama wataacha maana lengo leo nahisi ni kupunguza watumishi, nashindwa kujua wanataka nini hasa kila siku uhakiki.

Mbaya sana nchi kukosa sera eti kila rais anaingia na mihemuko yake jinsi anavotaka ndo anavofanya yaani watu milioni 40 tunatumia mawazo ya mtu mmoja au wawili( magufuri na bashite)
 
MTABO

Member
Mar 6, 2014
97
125
Yaani nimpeleke mwanangu akafundishwe twisheni na mtu aliyeshindwa kufundisha darasani? hii haiwezekani. mimi nafuatilia sana maendeleo ya wanangu darasani, kama nikiona maendeleo yanashuka ni kuhamisha shule, si kuwaambia walimu walewale walioshindwa wamfundishe mwanangu. kwa kifupi walimu wanaofundisha wanangu nawaamini, hawana vinjaa njaa vya ajabu mara sijui mwanao anahitaji tuisheni sijui nini..
ushauri wangu ni huu: mpeleke mwanao shule ya private. hata viongozi wa seriakli yetu hawawaamini hawa walimu wenye njaa iliyosababishwa na serikali, ndio maana watoto wao wanasomea shule za private. ukimhamisha shule nyingine ya umma, na kule kukawa na walimu wenye njaa iliyosababishwa na serikali, utakua umecheza mchezo wa utotoni
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,029
2,000
ushauri wangu ni huu: mpeleke mwanao shule ya private. hata viongozi wa seriakli yetu hawawaamini hawa walimu wenye njaa iliyosababishwa na serikali, ndio maana watoto wao wanasomea shule za private. ukimhamisha shule nyingine ya umma, na kule kukawa na walimu wenye njaa iliyosababishwa na serikali, utakua umecheza mchezo wa utotoni
Hapa umenena vyema kabisa. lakini suala moja linabaki je kwa wale wasiojiweza kupeleka watoto wao shule za binafsi ndio wafanye nini? au ndo wanawatoa watoto wao mhanga?
 
MTABO

Member
Mar 6, 2014
97
125
Kwa hiyo wewe ni mwalimu kwa ajiri ya kufundisha tuition au darasani ulipopangiwa na kulipwa mshara!?

Hiyo tuition umeisema inaelekea wazazi wamejua tabia zenu za kutowafundisha makusudi na kutaka waje after school ndio muwafundishe.

Sasa umeleta uzi mzuri ambao ma afisa el8mu wakiusoma atapata motisha wa kupambana nanyi na kuwasomesha namba. Kama unaona hamlipwi si muandike barua kunakohusika... kma hakyjibu lazima ni kwamba labda hakuwa bado na jibu na ikawa vyema kujipanga kwanza kuliko kushusha uongo.. ila angesema kitu tho.

Itakuwa vizuri wakuu wa mikoa yote wakifata alichokifanya Mh. Makonda, ambapo amewapa ukweli maafisa na options mbili TU.

Haufahi kuwa mwalimu mwrnye chuki hivi, kazo ya ualimu kwani ulilazimishwa!? Unatia aibu wenzako, jisikitikie kwa hao uliyoandika juu ya eti wanafunzi kufeli. Na ukamatwe ufukuzwe kwa kutofundisha.
acha kukurupuka kitoto. kama na wewe ni muhusika, haraka iwezekanavyo, ongea na wenzako walete hela za kujikimu za walimu wa ajira mpya 2017, wanaishi kwa taabu sana. mnayofanya ndiyo yanayosababisha yatokee hayo unayoyakemea kinafiki.
 
MTABO

Member
Mar 6, 2014
97
125
Hapa umenena vyema kabisa. lakini suala moja linabaki je kwa wale wasiojiweza kupeleka watoto wao shule za binafsi ndio wafanye nini? au ndo wanawatoa watoto wao mhanga?
wasio na uwezo wa kuwapeleka watoto wao shuleni, wajikusanye wakemee matendo ya mazoea ya serikali dhidi ya walimu.
mfano mpaka sasa serikali ktk matendo yake ya mazoea, imegoma kuwapa pesa za kujikimu walimu ajira mpya 2017, hali inayowafanya walimu hao kuiishi kwa tabu sana
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,029
2,000
wasio na uwezo wa kuwapeleka watoto wao shuleni, wajikusanye wakemee matendo ya mazoea ya serikali dhidi ya walimu.
mfano mpaka sasa serikali ktk matendo yake ya mazoea, imegoma kuwapa pesa za kujikimu walimu ajira mpya 2017, hali inayowafanya walimu hao kuiishi kwa tabu sana
Hili ulilolisema la wasiojiweza kukemea serikali yao ni ngumu sana. Hii ni kwa sababu asilimia kubwa ya walioipigia kura hii serikali iingie madarakani ndio hao wasiojiweza. Tanzania nchi ya ajabu sana
 
MTABO

Member
Mar 6, 2014
97
125
Hili ulilolisema la wasiojiweza kukemea serikali yao ni ngumu sana. Hii ni kwa sababu asilimia kubwa ya walioipigia kura hii serikali iingie madarakani ndio hao wasiojiweza. Tanzania nchi ya ajabu sana
sasa kama hawana uwezo wa kupeleka watoto wao ktk shule za private na hawataaki kukemea maovu ya serikali dhidi ya walimu, basi waisome namba kwa kusubiri watoto wao wamalize shule. kumaliza shule kuna maana na kutoendelea popote.
ukitenda dhambi lazima uadhibiwe. kama wazazi nao wanatenda dhambi ya kutokemea maovu, basi hiyo itakua adhabu yao bubashara.
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,201
2,000
acha kukurupuka kitoto. kama na wewe ni muhusika, haraka iwezekanavyo, ongea na wenzako walete hela za kujikimu za walimu wa ajira mpya 2017, wanaishi kwa taabu sana. mnayofanya ndiyo yanayosababisha yatokee hayo unayoyakemea kinafiki.

Mwalimu kama wewe ni hatari haufai kuwa mwalimu, lazima una hasira na labda mengine uliyotaka kufanya ukashindwa. Usitolee hasira kwa wanafunzi huku unajua yalikushindwa mwenyewe na ukusukumwa kuwa mwalimu. Kuwa mwalimu ina mengi sana, acha kazi hiyo tafuta ingine hifai kuendelea kufundisha kabisaaaaaaa. Acha tamaaaa, uliza wenye ujuzi hapo wakufunze wamefikaje walipo.

Usisahau kuandika barua kuwauliza wahusika na tumia lugha kama hiyo juu... watakupa na shahada ya kuwa mwalimi bora na kukupigia makofi watakapo soma jina lako.
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,201
2,000
sasa kama hawana uwezo wa kupeleka watoto wao ktk shule za private na hawataaki kukemea maovu ya serikali dhidi ya walimu, basi waisome namba kwa kusubiri watoto wao wamalize shule. kumaliza shule kuna maana na kutoendelea popote.
ukitenda dhambi lazima uadhibiwe. kama wazazi nao wanatenda dhambi ya kutokemea maovu, basi hiyo itakua adhabu yao bubashara.

Nitafurahi ukiandika siku yako huwa inaanzaje na kuishaje.. na unakula kula mara ngapi kwa siku... unapika au unakula nje.

Tuition yako wanafunzi unao, haujawahi kupata au wamekukimbia!? Unatumia fimbo kuhadhibu wanafunzi? Usipo wafundisha unakuwa unafanya nino darasani?
 
MTABO

Member
Mar 6, 2014
97
125
Mwalimu kama wewe ni hatari haufai kuwa mwalimu, lazima una hasira na labda mengine uliyotaka kufanya ukashindwa. Usitolee hasira kwa wanafunzi huku unajua yalikushindwa mwenyewe na ukusukumwa kuwa mwalimu. Kuwa mwalimu ina mengi sana, acha kazi hiyo tafuta ingine hifai kuendelea kufundisha kabisaaaaaaa. Acha tamaaaa, uliza wenye ujuzi hapo wakufunze wamefikaje walipo.

Usisahau kuandika barua kuwauliza wahusika na tumia lugha kama hiyo juu... watakupa na shahada ya kuwa mwalimi bora na kukupigia makofi watakapo soma jina lako.
wewe mama umerogwa nini. hivi unafurahia juhudi za serikali kuwanyima walimu pesa za kujimu? hivi unajua madhara ya uamuzi haramu wa serikali kuwanyima walimu pesa za kujikimu?

eti sikusukumwa kua mwalimu. hivi moja ya sifa za kua mwalimu ni utayari wa kuteswa na serikali kwa namna yoyote na kutokemea mateso hayo? unaandika kana kwamba maisha ya walimu yanavyotakiwa kua hivyo. wakiajiriwa wasipewe pesa ya kujikimu ili wateseke na njaa, n.k na wakae kimya. zuzu kabisa wewe mama. watu tuna njaa, wewe unaleta uharo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom