Ni miezi mitatu imepita tangu serilikakali itoe ajira za walimu za mwaka 2017. Inasikitisha kuona serikali hii inayojiita ya kazi tu, na inayojitapa kukusanya matrioni kwa kila mwezi, ikishindwa kuwalipa pesa za kujikimu walimu elfu 3 tu iliyowaajiri. Sio hali ya kawaida kushindwa kuwapa pesa za kujikimu walimu elfu 3 tu, bali ni tendo la makusudi lenye lengo la kuwadhoofisha walimu wapya ktk utendaji wao kazi. Haya ndio matendo ya mazoea ya serikali yetu yanayosababisha walimu wenye njaa wafanye kazi chini ya kiwango.
Jana mheshimiwa Jafo akijibu swali la nyongeza bungeni kuhusu ni lini serikali itawapatia walimu wa ajira mpya 2017 pesa za kujikimu ili wapate moyo wa kujituma kazini; Jafo bila aibu kujifanya amesahau swali na hatimae kwa makusudi akagoma kabisa kujibu swali hilo. Kisha mheshimiwa mwenyekiti wa bunge akambeba Jafo na kusema kua aliyeuliza swali ameshaelewa. Sijui mwenyekiti wa bunge alimaanisha aliyeuliza swali ameshaelewa kua seriakli imegoma kutoa pesa, au kaelewa lipi...!
Katika kipindi hiki kigumu kwa walimu wapya, kuna wadudu watu halamshauri na wakuu wa shule, wanajitekenya eti wako wanatuangalia tabia zetu. Hua najiuliza, hivi hawa wadudu wana akili kweli? utapimaje ukakamavu wa mwanajeshi mwenye njaa kali? Wakiongea hayo madudu yao, hua natamani hata niwakate makofi.
Acheni walimu tufanye kazi kwa mazoea, kwani hata seriakali yetu inatutetendea haya kwa mazoea. Tunawajibika kwa kiwango kile amabcho serikali yetu anavyopenda tuwajibike, kwa maana kwamba haitaki tujitume. Kila mtu abebe msalaba wake, mwanafunzi akiacha kusoma twisheni huko mtaani kwao, mimi nasema 'feli'. Narudia tena, 'fe li'. Ni maneno mawili tu, yaani 'fe' na 'li'.