Kwa hili msamaha upo? Mambo hadharani (mwisho) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili msamaha upo? Mambo hadharani (mwisho)

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, May 31, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  TAFUTA PART 1 YA HII NDIYO UJE HAPA. > Mke : Mara ya tatu mume wangu nililazimika nitembee nje ya ndoa, ni wakati wa uchaguzi.
  Siku ile ya kuhesabu kura mme wangu ulikua kura zako hazitoshi, yule msimamizi wa kituo nae akawa amenitongoza kwa ahadi nikimpa tu, atajua namna ya mandingo wewe upite, nikakubali kumpa na ndiyo maana wewe leo ni Mhe Diwani .
  Na hata hivi Mkurugenzi wa Halmashauri ameshanitaka sana, kwa ahadi ya nikimpa anacheza deal uwe Meya .
  Sijui nini mawazo yako mume wangu ?
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mh,kazi ipo! ya
  https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=3968933
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  kazi ipo,yan mtu anamsaliti mumewe kisa cheo? ama kwel hyo mwanamke ni ziro brain. . .
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Si ndiyo hivyo tena wanasema akili nywele !
  Kila mtu na minywele yake!
   
Loading...