Kwa hili mimi nitaoa Rwanda

Hapa dawa ni kusoma kisw ili ukafundishe rwanda, nami nakuambia hata kama siyo mwl mtafanya kila namna nkafundishe rwanda ata kwa kujitolea niko tayari pindi walimu wa kisw watakapopelekwa uko
Hahaaaaaa........! Unatisha kamanda
 
Dah, yan hii sampo nmeipenda[emoji12]
 
nenda pale karatu au mto wa mbu...kuna watoto wakali zaidi ya hao vikaragosi wako.
Watoto wanadanganyana tu hapa jf, Tanzania ni nchi kubwa sana. Halafu picha wanazoweka ni make up tu. Tanzania tuko vizuri.
 
KESHO jumatatu shule zinafunguliwa

BTW mkuu nenda tu kaoe maana hakuna namna
 
Itakuwa wanahisi wewe ni mwanamke mwenzao
Wana maswali ya kipuuzi asee
Hv bibie Joanah uzuri wako haujaonekana?mbona wanasifiwa wanyarwanda?Mm nahisi huyu jamaa anataka madem wa JF wajitongozeshe kwake,kuweni care na mjue hii ni gea tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila mimi naona kuwa bongo ni number one kwa watoto wazuri walio umbika kuliko rwanda
 


Picha hii inaonesha n kwa kias gan mleta mada una element za uchochezi na uvunjifu wa amani. Wenye vibamia tuipinge kwa nguvu zoteee
 
bwana weeeee hatari sana jamani duuh na mimi nioe basi mr handsome ahahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…