Kwa hili mimi nitaoa Rwanda

Mkuu wanawake wa rwanda tatizo wanadharau sana
 
Ni watamu sana lkn wanafaa kwa kuwatafuna tu si kwa kuoa. Wana maji mengi hasa ukijulia kukichua kile kinanihiii. Kuna mmoja nikimtafuna alikuwa anayarusha maji kwa hewa chriiiiiiii chriiii chri......wacha kbs.
 
Wanyarwanda. Sawa

Cc Smart911
Hata Tanzania wanawake wazuri na warembo, wenye tabia njema wapo wengi tu... Hakuna binadamu aliye mkamilifu.. Kila binadamu ana madhaifu yake...

Ndiyo maana tumeumbiwa kusamehe na kusahahu...

Look at my lady mahondaw... She is so adorable... Lovely... Beautiful, asiyependa makuu... Very understanding... Love her so much...


I have been to many places, i have seen so many faces, it doesn't matter if its purple, blue, yellow, black or white.
 
Nyerere alifanya kosa kubwa sanaa...!! Angeungana na Rwanda tungekuwa tunajiliaa tuu...dadekiii
 
Yaani humu ndani unaweza kupona ugonjwa wako hata kwa kusoma tu post za watu.
Ukweli wanyarwanda ni wazuri hasa kutoka ktk kabila la watusi yaani ni wazuri mno.
Kasoro zao hizi hapa
Atakuzalia watoto ila lazima mtoto mmoja aje kuzaa na mtusi mwenzie ikiwa wewe si mtusi pasipo wewe kujua ili mbegu yao isife.
Ni makabila ya wafugaji wana mali hivyo hakikisha kwenu mna mali za kutosha uwe tajiri siyo vihela vya kuhesabia chooni huwapati ng'oo.
Ni wakarimu,wacheshi,wazuri na maumbo ya asili huchoki kuwatazama machoni wanahamasisha hata lile tendo hutahamgaika na michepuko.
Waone hawa kama sampo wapo wazuri kuliko hawa sasa.
Mweeee kwa kweli Mungu ni fundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…