infinix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 2,092
- 2,150
Alipoenda Basha wako Kipolepole wakampokea kwa heshima, na wewe hutii neno, walipoenda wapinzani mashoga wakakumbuka kwamba wanalinda majambazi....Kuna mtu aniliniambia askari magereza huwa hawacheki na kima usoni wale ukileta nyoko wanakutengua kiuno bila kujali wewe n8 mwenyekiti wa bawacha ama bavicha.
Yani watu wanahifadhi majambazi na watukutu walioshindikana mtaani alafu kina mdee wanapeleka pua zao kule?
Hivi walifikiri ni trafic wale?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana tunasema mnaandika uharo mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app