Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Dah kweli leo Molembe aka Afisa habari ni eskarioti?Eskarioti mkubwa wewe, shut up
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kweli leo Molembe aka Afisa habari ni eskarioti?Eskarioti mkubwa wewe, shut up
Alisha hamia kwenu kitambo kumfuata lowasa
Anaenda Jela na Ile sauti yake mbaya anafikiri ataogopewa askari mkakamavu lazima amsaidie maumivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole pole waliingia ndani Na wanaccm wenza wala hawakupigwa.kilichofanywa Jana Na askari Wa magereza Ni zaidi ya unyama...
Tukumbushane
Hivi Mashinji alipokelewa wapi alivyotoka gerezaji.
Polepole na mivieiti yake alifuata nn wakati Msigwa anatoka?
Sometimes tuwe wakweli na tusipende kupotosha potosha.
Na kingine tunatakiwa kujua ni, hao viongozi na wafuasi walikuwa eneo gani
1. Nje ya lango la kutokea ( Geti kuu)
2. Ndani ya geti yaani walivuka lango kuu?
Maana watu tumekuwa waimba pambio hata wakati usiotakikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eskarioti mkubwa wewe, shut up
Mbona ccm wakiongozwa na polepole waliruhusiwa kwenda kumpokea mashinji tena wakiwa na msafara mkubwa na gari za ikulu. Pia wakataka kufanya igizo lao la kumpokea msigwa ambali lilishindwa? Au wakiwa ccm eneo haliwi nyeti?Eneo la magereza ni eneo lenye ulinzi nyeti sana, eneo ambalo linahifadhi waahalifu wa kila aina ambao kosa dogo linaweza fanya wakatoroka, ndio maana huwa kuna ulinzi mkali unaonekana na usio oneka.
Jana umetokea mtifuano kati ya askari magereza na wafuasi wa chadema, katika hili lawama zote zinaenda kwa wafuasi wa chadema, kulikuwa na haja gani wao kuandamana kwenda gerezani kumchukua kiongozi wao? kwani wangekaa makao makuu kumsubiria kiongozi wao wangepoteza nini?
Viongozi wa chadema wajifunze kuheshimu mamlaka zingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe nakujitambua kwako mbona ulivunguliwa na virungu pale magereza? Sometimes nivyema kujifanya mjinga, ukijifanya nunda unalawitiwa kama mlivofanywa pale!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale sio askari ni inzi wa kijani waliovaa mavazi ya askariPole pole waliingia ndani Na wanaccm wenza wala hawakupigwa.kilichofanywa Jana Na askari Wa magereza Ni zaidi ya unyama...
Wale sio askari ni inzi wa kijani waliovaa mavazi ya askari na wako wengi wamepansikizwa kila eneo. Ni intarahamwe hao.Pole pole waliingia ndani Na wanaccm wenza wala hawakupigwa.kilichofanywa Jana Na askari Wa magereza Ni zaidi ya unyama...
Kuna mtu aniliniambia askari magereza huwa hawacheki na kima usoni wale ukileta nyoko wanakutengua kiuno bila kujali wewe n8 mwenyekiti wa bawacha ama bavicha.Hujitambui wewe kilaza wa lumumba
In God we Trust
Eneo la magereza ni eneo lenye ulinzi nyeti sana, eneo ambalo linahifadhi waahalifu wa kila aina ambao kosa dogo linaweza fanya wakatoroka, ndio maana huwa kuna ulinzi mkali unaonekana na usio oneka.
Jana umetokea mtifuano kati ya askari magereza na wafuasi wa chadema, katika hili lawama zote zinaenda kwa wafuasi wa chadema, kulikuwa na haja gani wao kuandamana kwenda gerezani kumchukua kiongozi wao? kwani wangekaa makao makuu kumsubiria kiongozi wao wangepoteza nini?
Viongozi wa chadema wajifunze kuheshimu mamlaka zingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Video zipo zinaonyesha mandela akilakiwa nje ya gereza Paarl na hawa matapeli usiwafananishe na MandelaMbona Mandela wananchi walimpokea gerezani. Sema tu mamlaka zimechukizwa Mbowe kuachiliwa.
Nitumie CV yako nikuondoe kwenye utumwaWewe mwenye sauti mzuri mbona unashindwa kuyaendesha maisha yako?
In God we Trust
Umesikia kama Tanzania inafuata sheria za SA? Acha kufananisha vitu vya kipuuzi. Kila nchi ina sheria, taratibu na kanuni zake.Video zipo zinaonyesha mandela akilakiwa nje ya gereza Paarl na hawa matapeli usiwafananishe na Mandela
Umelewa chimpumuUmesikia kama Tanzania inafuata sheria za SA? Acha kufananisha vitu vya kipuuzi. Kila nchi ina sheria, taratibu na kanuni zake.
Eneo la magereza ni eneo lenye ulinzi nyeti sana, eneo ambalo linahifadhi waahalifu wa kila aina ambao kosa dogo linaweza fanya wakatoroka, ndio maana huwa kuna ulinzi mkali unaonekana na usio oneka.
Jana umetokea mtifuano kati ya askari magereza na wafuasi wa chadema, katika hili lawama zote zinaenda kwa wafuasi wa chadema, kulikuwa na haja gani wao kuandamana kwenda gerezani kumchukua kiongozi wao? kwani wangekaa makao makuu kumsubiria kiongozi wao wangepoteza nini?
Viongozi wa chadema wajifunze kuheshimu mamlaka zingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utawala wowote ambao upo bize kupambana Na watu badala ya maendeleo ni jukumu LA jamii husika kuufutilia mbali Na kuweka utawala utakaopambana Na maendeleoTanzania kuna sheria mjomba?Nchi gani hiyo inayoendeshwa bila ya matakwa ya wananchi kama tuna viongozi wa kweli wangetupatia Katiba mpya na tume huru ila wanatumia Dola kujinufaisha wenyewe na kujilimbikizia Mali bila kujali wananchi wanavyopata tabu