Kwa hili la Segerea, CHADEMA ikiri imekosea

Eneo la magereza ni eneo lenye ulinzi nyeti sana, eneo ambalo linahifadhi waahalifu wa kila aina ambao kosa dogo linaweza fanya wakatoroka, ndio maana huwa kuna ulinzi mkali unaonekana na usio oneka.

Jana umetokea mtifuano kati ya askari magereza na wafuasi wa chadema, katika hili lawama zote zinaenda kwa wafuasi wa chadema, kulikuwa na haja gani wao kuandamana kwenda gerezani kumchukua kiongozi wao? kwani wangekaa makao makuu kumsubiria kiongozi wao wangepoteza nini?

Viongozi wa chadema wajifunze kuheshimu mamlaka zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole pole alienda kumchukulia wapi Mashiji je alikuwa peke yake? Asbh ile waandishi walitoka wapi? Je walipigwa mabomu na Askari police/Mageleza?
 
Eneo la magereza ni eneo lenye ulinzi nyeti sana, eneo ambalo linahifadhi waahalifu wa kila aina ambao kosa dogo linaweza fanya wakatoroka, ndio maana huwa kuna ulinzi mkali unaonekana na usio oneka.

Jana umetokea mtifuano kati ya askari magereza na wafuasi wa chadema, katika hili lawama zote zinaenda kwa wafuasi wa chadema, kulikuwa na haja gani wao kuandamana kwenda gerezani kumchukua kiongozi wao? kwani wangekaa makao makuu kumsubiria kiongozi wao wangepoteza nini?

Viongozi wa chadema wajifunze kuheshimu mamlaka zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamchukia sana Ngosha ambaye hacheki na kima. Ukifanya jambo la kijinga lazima uulipie ujinga wako.
 
Mbona Mandela wananchi walimpokea gerezani. Sema tu mamlaka zimechukizwa Mbowe kuachiliwa.
Mandela hakupokelewa gerazani Ila njiani karibu ni uwanja wa mkutano Cape Town soma Long walk to Freedom utajua kila kitu. Usiwe uncopy ya wapotoshaji. Pia alitokea kwenye Nyumba alikuwa unasishi baada ya kuondoka Robinson Island
 
Eneo la magereza ni eneo lenye ulinzi nyeti sana, eneo ambalo linahifadhi waahalifu wa kila aina ambao kosa dogo linaweza fanya wakatoroka, ndio maana huwa kuna ulinzi mkali unaonekana na usio oneka.

Jana umetokea mtifuano kati ya askari magereza na wafuasi wa chadema, katika hili lawama zote zinaenda kwa wafuasi wa chadema, kulikuwa na haja gani wao kuandamana kwenda gerezani kumchukua kiongozi wao? kwani wangekaa makao makuu kumsubiria kiongozi wao wangepoteza nini?

Viongozi wa chadema wajifunze kuheshimu mamlaka zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msafara wa magari wa ccm una haki kwenda magereza kuchukua watu wao lakini cdm hawana haki?????
 
Polepole alifanya hilo hilo yeye hakukosea? Acheni ujinga
 
Ni kweli kabsa wakina Halima walikiuka hayo masharti ya magereza alafu wanatafuta huruma kwa watu.Kila mahala pana sheria zake.Walitakiwa waheshimu hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acheni upupu wenu na upuuzi, video hii inaonesha huu msafara wa Chakubanga mbona umetokea ndani ya Magereza kama magari hayaruhusiwi kuingia magereza?

Nchi hii inaendeshwa kwa Double standards sana. na inakera mno
 
Attachments

  • 2335248_BREAKING-_MSIGWA_AKITOLEWA_GEREZANI_AKIMBIA_WAANDISHI.._144p.mp4
    3.7 MB
Msafara wa magari wa ccm una haki kwenda magereza kuchukua watu wao lakini cdm hawana haki?????
Theoretically CCM hawana haki ambayo chama kingine chochote hakina. Practically CDM wanatakiwa watumie akili ya asili, wajue CCM ni chama tawala na automatically vyombo vya dola vitawa treat tofauti na chama kisichokuwa tawala. Kila wanalolifanya wawe wakijua hii ni TZ na ni lazima hawawezi kuwa treated sawa na CCM. Siku wakipata madaraka automatically vyombo vyote vya dola vitakuwa upande wao. Hizi ni practice za wazi na za kihalisia za siasa za Kiafrika. Kuigizia kila wanalofanya ccm bila tahadhali itakuwa ni upungufu wa uelewa wa mambo.
 
Eneo la magereza ni eneo lenye ulinzi nyeti sana, eneo ambalo linahifadhi waahalifu wa kila aina ambao kosa dogo linaweza fanya wakatoroka, ndio maana huwa kuna ulinzi mkali unaonekana na usio oneka.

Jana umetokea mtifuano kati ya askari magereza na wafuasi wa chadema, katika hili lawama zote zinaenda kwa wafuasi wa chadema, kulikuwa na haja gani wao kuandamana kwenda gerezani kumchukua kiongozi wao? kwani wangekaa makao makuu kumsubiria kiongozi wao wangepoteza nini?

Viongozi wa chadema wajifunze kuheshimu mamlaka zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app

Halafu few minutes ago walikuja Polepole na his group na magari tens na ushee na vurugu ya kamera everywhere!

Kwenye lawama zako hujamuweka Polepole na group lake sijui ulikua na maana gani?
 
Mbona Mandela wananchi walimpokea gerezani. Sema tu mamlaka zimechukizwa Mbowe kuachiliwa.
Mandela wa nchi gani?

Hili ndio tatizo la KU COPY na KU PASTE bila kuangalia taratibu na sheria za nchi uhusika.
 
Ajabu sana;

Hivi unajua maana ya maandamano wewe?!

Unavyosema wafuasi wa Chadema waliandamana ulikuwepo ukawaona?

Hebu niambie hayo maandamano yao yalianzia wapi yakaishia Segerea?

Na kwanini huko kote walikopita wasizuiwe na polisi wa usalama barabarani?

Then, kama waliandamana hicho kibali walipewa na nani?

Bandiko lako fake, nahisi umeiba idea somewhere bila kujua mantiki yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu alishawahi kusema hii nchi tumewakabidhi washamba.Na wengine ndio hawa tunajibishana nao humu.
 
Huu ulioandika ni uharo wa mwaka!!

Kipolepole alipoenda kumchukia Msigwa alikuwa peke yake???
Hakuandamana na waandishi wa habari pamoja na watu wengine wa ikulu??

Alipigwa kwa kosa la kufanya maandamano gerezani?

Kama hakupigwa wewe unasemaje kwamba CHADEMA walikuwa na makosa walipoenda kumpokea kiongozi wao huko gerezani??

Huoni kwamba hoja yako ni muflisi kabisa na haina mashiko???

Kwa hoja yako hii huwezi kulipwa na hao mazezeta wenzio wa Lumumba ujira wako, kwa sababu huna hoja Pimbi wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru mungu sikupoteza hela yangu kuwachangia hawa wapuuzi. Nyie mliochanga ndio mjue kuwa bora hata ungekula mishkaki na hiyo hela.
 
Back
Top Bottom